Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Hakuna ajuaeye kila kitu hatuwi na mawazo sawa woteHa
Hapana,wao wenyewe walikiri ni wapumbavu. Kulikuwa na sehemu fupi hawakutumia akiri kuitumia kutengeneza diversion.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ajuaeye kila kitu hatuwi na mawazo sawa woteHa
Hapana,wao wenyewe walikiri ni wapumbavu. Kulikuwa na sehemu fupi hawakutumia akiri kuitumia kutengeneza diversion.
Hisia zako tu. Toa vivid examples ili tukuelewe.Sihitaji wala sitaki kuwa mshauri wake. Kama hadi leo hujaona katiba inavyovunjwa basi hutaona hata iweje. Ni utashi wako kutoona.
The bottom line is; weledi unawezekana pale kunapokuwa na predicable working environment. Lakini sio pale mtu mmoja anajigeuza ndio mfumo.
Wale ni wahandisi wabobezi.Hakuna ajuaeye kila kitu hatuwi na mawazo sawa wote
Ukiona watu wanabambikwa kesi, risasi, wasiojulikana, tumiwa TRA,Uhamiaji,media fungiwa jibu unaloMbona huwa mnasema hakuna uhuru wa kutoa maoni?
Aliyekuambia Rais ni boss wa kila mtu ni nani?Kama wewe unaweza kumwambia maneno hayo boss wako sawa
Amekosea wapi?Nimeuliza tu,ila swali langu la msingi,Rais naye anapokosea tumuite Mpumbavu?
Hizo barabara wakati zinajengwa chini ya kiwango au jangwani kwenye MAJI kinajengwa yadi ya mwendokasi nani alikuwa waziri?Je yalikuwa ni maamuzi ya kipumbavu?Wale ni wahandisi wabobezi.
Kuwa bosi hakumaanishi kwamba uko juu ya Sheria ya utu na maadiliKama wewe unaweza kumwambia maneno hayo boss wako sawa
mimi ni mpumbavu sawa nakubali. ila wewe ni mwerevu sana kwa kuwa umeishiwa hoja na kuanza viroja vya matusi - hautofautiani kabisa na huyo unayemtetea!Hata wewe ni mpumbavu hutumii sense kufanya good judgement.
Hivi unadhani nini kitatokea kama mtu mwengine akatumia neno hilo hilo kwa raisi?kwakisingizio tu chakutotekeleza majukumu katika utendaji kazi wake ni nini kitatokea?lugha zakutweza na kudharaulisha hazifai kutoka kinywani pa kiongozi zipotaratibu zakuwajibisha watu katika utumishi wa umma bila kutweza utu wa mtu na katiba inasema wazi binadamu wote ni sawa wanastahili heshima na katika hili hakuna exception lakini ukilichukulia suala hili kishabiki utaliona sawa kabisa.Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.
Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha kuwa hawa watumishi ambao ni wasomi hawakuwa na awareness na hawakutumia weledi wao ili kutatua tatizo ambalo kwa kutumia good sense and good judgement lingeweza kutatuliwa kwa muda mfupi.
Kumeibuka mijadala sehemu mbalimbali kuwa kwa kutumia neno upumbavu eti aliwatukana na kuwadhalilisha.Je neno upambavu ni tusi? Maana ni kukosa kufikiria vyema na kuwa na maamuzi mabaya.
Hawa wasomi walishindwa vipi kutumia taaluma yao na kuona ile sehemu fupi yenye gema ambalo lingeweza kutengeneza diversion fupi na ya kudumu. Lack of good sense which leads to mistake(Foolishness) ni tusi?
Kwa maoni yangu Rais hajawatukana ila amewakumbusha kutumia akili katika kutatua matatizo. Na hili ni tatizo kubwa maana watendaji wengi wa serikali hawatumii akili ili kutatua kero za wananchi.
Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.
Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha kuwa hawa watumishi ambao ni wasomi hawakuwa na awareness na hawakutumia weledi wao ili kutatua tatizo ambalo kwa kutumia good sense and good judgement lingeweza kutatuliwa kwa muda mfupi.
Kumeibuka mijadala sehemu mbalimbali kuwa kwa kutumia neno upumbavu eti aliwatukana na kuwadhalilisha.Je neno upambavu ni tusi? Maana ni kukosa kufikiria vyema na kuwa na maamuzi mabaya.
Hawa wasomi walishindwa vipi kutumia taaluma yao na kuona ile sehemu fupi yenye gema ambalo lingeweza kutengeneza diversion fupi na ya kudumu. Lack of good sense which leads to mistake(Foolishness) ni tusi?
Kwa maoni yangu Rais hajawatukana ila amewakumbusha kutumia akili katika kutatua matatizo. Na hili ni tatizo kubwa maana watendaji wengi wa serikali hawatumii akili ili kutatua kero za wananchi.
Kasome katiba ibara ya 33 ndio utajua Rais ni nani. Pia soma ibara ya 35(1) ya katiba ya JMT juu ya utendaji kazi wa majukumu ya maafisa wa serikali. Wote wanafanya kazi kwa niaba ya rais. Ndio boss wao.Hivi unadhani nini kitatokea kama mtu mwengine akatumia neno hilo hilo kwa raisi?kwakisingizio tu chakutotekeleza majukumu katika utendaji kazi wake ni nini kitatokea?lugha zakutweza na kudharaulisha hazifai kutoka kinywani pa kiongozi zipotaratibu zakuwajibisha watu katika utumishi wa umma bila kutweza utu wa mtu na katiba inasema wazi binadamu wote ni sawa wanastahili heshima na katika hili hakuna exception lakini ukilichukulia suala hili kishabiki utaliona sawa kabisa.
Kasome katiba ibara ya 35(1) ya JMT utapata jibu ni boss wa akina naniAliyekuambia Rais ni boss wa kila mtu ni nani?
Hivi na wewe ulitakiwa uchangie hii mada? Au ulilazimishwa?
Kwa upumbavu huenda yeye anaongoza kwa maamuzi, maneno na matendo yakeKabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.
Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha kuwa hawa watumishi ambao ni wasomi hawakuwa na awareness na hawakutumia weledi wao ili kutatua tatizo ambalo kwa kutumia good sense and good judgement lingeweza kutatuliwa kwa muda mfupi.
Kumeibuka mijadala sehemu mbalimbali kuwa kwa kutumia neno upumbavu eti aliwatukana na kuwadhalilisha.Je neno upambavu ni tusi? Maana ni kukosa kufikiria vyema na kuwa na maamuzi mabaya.
Hawa wasomi walishindwa vipi kutumia taaluma yao na kuona ile sehemu fupi yenye gema ambalo lingeweza kutengeneza diversion fupi na ya kudumu. Lack of good sense which leads to mistake(Foolishness) ni tusi?
Kwa maoni yangu Rais hajawatukana ila amewakumbusha kutumia akili katika kutatua matatizo. Na hili ni tatizo kubwa maana watendaji wengi wa serikali hawatumii akili ili kutatua kero za wananchi.
So yeye ni malaika?Sifa moja ya binadamu ni kutokamilika,lazima binadamu ana mapungufu!Ndio nasema,na yeye kwenye mapungufu yake tumuite mpumbavu?Amekosea wapi?
Hawezi kusema hayo kwa ID yake halisi!Mmesahau ya Ben saanane?Mbona huwa mnasema hakuna uhuru wa kutoa maoni?
Na wewe punguza chukichagu wa malunde,
Yeye mwenyewe mbona anafanya madudu kibao. Lakini hataki kukosolewa
Ebu punguzeni kujikomba bna
Hisia zako tu. Toa vivid examples ili tukuelewe.
We si umesema jamaa anatoa amri zake tu bila kufuata misingi ya sheria. Anavyotaka yeye tu ndio iwe hivyo au?Vivid examples kwenye nini, proven management practices au....?