Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Endelea kusema negativity huo ndio ukweli , wakati mkiwa mnang'aa mlikuwa hamkamatiki.. ukitokewa na mwanaume serious unaishia kutaka sifa za tamthilia za kifilipino. Leo mnakuja kulialia hapa mnataka wazee wetu ili mle pension zao za kustaafu... Ishieni huko hukoNegativity ni sumu, usijali mkuu take it easy.
Domo zege nenda ukaliwe pension yakoYupo sahihi kabsa. Na mm ningependa nipate hyo nafasi. Nasema kutoka moyoni mwangu na Kwa dhati kabsa. Mimi co marioo Nina kazi yangu kabsaa am a Engineer but napenda nipate nafasi hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Usaili ni both sides. Unauliza nakujibu,nakuuuliza unajibu.
Anatafuta kula pension za mababu zetu Huyo Hana lolote la maanaLegeza vigezo vya umri
Ulivyokuwa binti umetombesha weee ukawa unatongozwa unaleta nyodo sasa ushakuwa bibi ndo unakumbuka kuolewa.Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa.
Mimi ni mwanamke 40yrs nahitaji mwanaume ambaye nae ana uhitaji kama wangu ila awe mkristo. Usaili mwingine tutafanyiana PM.
Wahenga karibuni only kwa walio serious tafadhali. Asante
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu huyo nae anatafuta kitumbua ale asepe hakuna muoaji hapo
[emoji3][emoji3][emoji3] Udomo zege ni janga kama ilivyo coronavirus naona Serikali ya awamu ya tano iko kimya tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu huyo nae anatafuta kitumbua ale asepe hakuna muoaji hapo
Sent using Rocket Propelled Grenade
..............Ulipokuwa kwenye 20's aah utasema hutazeeka ulivyokuwa unawakaushia wana mtaani sasa upo hapa unahangaika kuwatafuta wakati wao saizi wanawaza kusomesha watoto wewe unataka muanze maisha,labda ukutane na aliyepata bahati mbaya akampoteza mkewe..
Nia siyo kukukwaza ila nataka kuwaambia wadogo zako watakaopita kwenye huu uzi wako waangalie sana hatua zao kuna umri sahihi wa kutafuta mwenza waujue mapema wasije kuishia kama hii wewe.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Unadhani miaka inahesabiwa kama maembe siyo!...
Nitakuamkia kitandani tu.
Kwa kuoa? Nadhani kwa michepuko tu ila kuoa ni kama huyoUkafanikiwe hitaji la moyo wako. Japo hao wa 40-45 wanataka vibinti 20-30
Sent using Jamii Forums mobile app