Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #141
Vijana wengi ni bomu la kesho.
Mlonwake kwa siku ni wankubanaisha na energy na half cake! Leo umwambie awe na mke...
Hatari Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wengi ni bomu la kesho.
Mlonwake kwa siku ni wankubanaisha na energy na half cake! Leo umwambie awe na mke...
Sasa kwa kuangalia hali halisi kwenye dunia ya leo, ni ndoa ngapi zisizo na furaha kulinganisha na zile zenye furaha, na je unaona kipi bora kati ya mtu kuwa single au kuwa kwenye ndoa isiyo na furahaUpendo ndio huondoa upweke.
Unaweza ukawa na mke au mume hamkai karibu labda kutokana na kazi lakini kutokana na kukujali na kukufuatilia ukajiona upo karibu naye
Vipi wale wanawake wanaoua waume zao!Mke atakuuguza ukiumwa, mke atakusafisha ukipuu kitandani mgonjwa,
Jambo Hilo nurse hata mama au dada wa Damu haezi fanya. Pesa Yako pia haiwezi fanya.
Wote wanaojaribu kupingana na Mfumo aliouweka Mungu wa NDOA takatifu ni wamechanganyikiwa.
Ni ombi LANGU mpone.
Ndoa nyingi azina furaha na bora kuwa single kuliko kuwa kweny ndoa isiy na furaha..Sasa kwa kuangalia hali halisi kwenye dunia ya leo, ni ndoa ngapi zisizo na furaha kulinganisha na zile zenye furaha, na je unaona kipi bora kati ya mtu kuwa single au kuwa kwenye ndoa isiyo na furaha
Hapo shetani Yuko kazini, au mtu ameoa mke au Kuolewa na mme asiye wake.Vipi wale wanawake wanaoua waume zao!
Tatizo kubwa linalosababisha ni ugumu WA Maisha hasa Kwa wanaume, masomo ya Muda mrefu hasa Kwa wanawake, mwanamke aliyesoma Sana anapoteza sifa za kuwa mke Kwa kuwa anaogopwa, ana mafunzo mengi ya dhahania kuliko mafunzo ya jinai ya kuishi na mume.
Si ajabu kumkuta binti WA miaka 20 hajui kupika. Wanawake wengi wasomi ni wagumu Sana kuomba msamaa ili Hali wazamani wasiosoma walikuwa Ali kuadhibiwa bila makosa Kwa Muda mrefu Hadi pale mume anapoona kwamba nahitaji kunionea mkewe tena( uvumilivu)
.
Kukosa familia ni kukosa maana halisi ya maisha
unaamka unafanya kazi ndio tibaAlafu usiku? hiyo hali isikie tu
generally upweke ni ugonjwa kama magonjwa mengine