Ni wakati gani inakuwa propaganda na wakati gani inakuwa ukweli? Mmarekani hakopeshi wala hamung'unyi maneno. Cheki katangaza dunia mzima grant ya kuwadhibiti wachina kusambaza silaha za hatari na udukuzi kama lile jengo la
AU walilotujengea wachina Addis kumbe lilikuwa limejaa electronic bugs zinapeleka habari zote China. Na sisi
walitujengea jengo la mafunzo ya kijeshi Bagamoyo. LIsije nalo limejaa bugs!! Changamkia fursa kuna $300,000 kuupinga ubeberu mamboleo wa kichina
🙂 KItu kimoja kizuri Magufuli alichokifanya ni kuachana na mradi wa bandari ya Bagamoyo. Kwa hili namuunga mkono.