Baikije
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 876
- 1,219
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili mzee Spartacus the mnyama mkali umeongea point kabisa.Hili lidada uwa ni lichizi, Lilimlazimishaga Diamond ukaribu na likamtaka Kimapenzi akalitolea nje
Kiba alichoaribu ni kukubali mazoea na ukaribu nalo
Ashaanguka kitambo uyo mda si mrefu ataingia kwenye hawavumi lakini wamoNi wanaume wachache wanaweza kuuruka huo mzigo, hata kama ni mimi ningetia gambani sema ndo mwanzo wa kuangusha safari yako. Unapoamua kuwa na meneja wa kike jitahidi sana utafute meneja kama yule wa mbosso (japo sina uhakika kama bado ni meneja wake hadisasa)
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Ashaanguka kitambo uyo mda si mrefu ataingia kwenye hawavumi lakini wamo
Kwa mara ya kwanza leo umeongea point.Hili lidada uwa ni lichizi, Lilimlazimishaga Diamond ukaribu na likamtaka Kimapenzi akalitolea nje
Kiba alichoaribu ni kukubali mazoea na ukaribu nalo
Hahahahalikiba bana,nimecheki akihojiwa na soud akasema hataki stori zinazohusu maisha yake binafsi kwa sababu anapenda maisha yake yawe private,soudy alivomjinga akamuuliza “kwanini ?” [emoji23] yani kwa kifupi soudy ni mchokozi sana
😁😁😁 yan ni shida alafu wanakua washajiandaa wanajua anything can happen baadae, sms zote hawafutiDiva na mange wana undugu. Wakipanic ni shida wanadondosha magazeti haooo na maushahidi ya kila aina
Na katika watu wanaojua kumchimba Ali Kiba hadi kumfanya ajaribu kupotezea mada ni Soudy Brown, yule ni professional gossiper.alikiba bana,nimecheki akihojiwa na soud akasema hataki stori zinazohusu maisha yake binafsi kwa sababu anapenda maisha yake yawe private,soudy alivomjinga akamuuliza “kwanini ?” [emoji23] yani kwa kifupi soudy ni mchokozi sana
The spartacus the mnyama mkali huu muandiko mbona kama sio wa kwako.Hili lidada uwa ni lichizi, Lilimlazimishaga Diamond ukaribu na likamtaka Kimapenzi akalitolea nje
Kiba alichoaribu ni kukubali mazoea na ukaribu nalo
😁😁😁 yan ni shida alafu wanakua washajiandaa wanajua anything can happen baadae, sms zote hawafuti
😀 😀 😀 😀 😀The spartacus the mnyama mkali huu muandiko mbona kama sio wa kwako.