Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Ni wanaume wachache wanaweza kuuruka huo mzigo, hata kama ni mimi ningetia gambani sema ndo mwanzo wa kuangusha safari yako. Unapoamua kuwa na meneja wa kike jitahidi sana utafute meneja kama yule wa mbosso (japo sina uhakika kama bado ni meneja wake hadisasa)
Ashaanguka kitambo uyo mda si mrefu ataingia kwenye hawavumi lakini wamo
 
Bongo bhana, watu wasichojua Kiba naye hana tofauti na Diamond sema tu Diamond kaamua kuyafanya yake hadharani ila Kiba anafanya sirini na mwisho yamebumburuka.

Wengine tulio na marafiki wambea huwa tunasikia story nyingi za uchafu wa Kiba, hata mie nilikuwaga najua ni mstaarabu sana ila niliyokuja kuyasikia nilibaki mdomo wazi.

Ila mwisho wa siku mi naonaga maisha ya hawa wasanii hayanihusu hata kidogo, nikishabikia muziki wao tu inatosha hayo mengine watajuana wenyewe.

Hii ndiyo sababu hata siku hizi instagram siingii sana, sababu marafiki zangu wengi niliowafollow wamefollow pages za umbea hivyo nikiingia nami nakutana nazo.
 
alikiba bana,nimecheki akihojiwa na soud akasema hataki stori zinazohusu maisha yake binafsi kwa sababu anapenda maisha yake yawe private,soudy alivomjinga akamuuliza “kwanini ?” [emoji23] yani kwa kifupi soudy ni mchokozi sana
Na katika watu wanaojua kumchimba Ali Kiba hadi kumfanya ajaribu kupotezea mada ni Soudy Brown, yule ni professional gossiper.
 
Back
Top Bottom