Uraia Pacha, Wanadiaspora Mshukuruni Rais, sasa mnatambuliwa rasmi kwa Special Status ya Diaspora Tanzanite Card, una enjoy baadhi ya Haki za Uraia!

Sikushangai. Tatizo lako ni elimu duni na kukosa exposure.

Tafuta exposure uone dunia inavyoenda
 
Umesoma nilichoandika hapo juu? Mbona kina jibu maswali yako yote?

Unavyorudi TZ hawaangalii umetokea nchi gani. Wewe ni raia unarudi nyumbani.

Wakati wa kuondoka wanaotaka kujua visa au passport ya unakoenda ni shirika la ndege. Waonyeshe hao passport ya Sweden.
Ukienda Immigration unaenda na passport ya TZ na wataona uliingia lini. Sio kazi yao kupiona visa ya unakoenda. Kwahiyo wakiona pasi ya TZ inatosha.
 
Kama umekana uraia wa nchi yako si ubaki na nchi uliyoipenda. Umalaya wa uraia nao si mzuri kubaki njia moja ni muhimu.
Mtanzania kuchukua uraia wa nchi nyingine ni anahesabika ameukana Utanzania, kitu ambacho sio cha kweli.

Kuna Watanzania wengi wamechukua uraia wa nchi nyingine by circumstances, mfano mzuri ni familia yangu, mimi na wife tulihamia US, watoto wetu wakazaliwa US, ni US subjects lakini wazazi wao ni Watanzania. Hawa hawajaukana Utanzania, wanasubiria uraia pacha ili wapate haki yao ya Utanzania.

Haki ya damu ya Utanzania, haiwezi kuondolewa kwa makaratasi!.
P
 
Hao watoto wako warudi Tanzania wapewe uraia wa kuandikishwa na waukane huo uraia wa Nchi nyingine. Uraia wa Nchi mbili utatuletea shida kwa Nchi masikini.
 
Sikushangai. Tatizo lako ni elimu duni na kukosa exposure.

Tafuta exposure uone dunia inavyoenda
Sasa wewe si ubaki huko na exposure yako. Tamaa ya nini wa uraia wa Nchi nyingine? Umalaya wa uraia ukikaribishwa utatuharibia Nchi yetu. Angalia hata kati ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani pamoja na kuungana bado kuna masharti ya muingiliano ili kutowanyima wasawa haki yao. Sasa hiyo elimu uliyonayo na huelewi mambo hayo madogo ni elimu ya wapi?
 
unaonaje ukaelezea faida za kuwa na uraia pacha badala ya kulalamikia sababu za kukataa uraia pacha, dadavua ni faida zipi tutapata kwa kukubali uraia pacha na hasara zipi tutapata tukikataa uraia pacha.
 
kwani wakiwa na uraia wa marekani si maisha yao yatakuwa bomba, au ndo atakuwa mateja kama yale aliyoyaona bongozozo?
 
Watanganyika jiangalieni ninyi na familia zenu . Mambo ya kiongozi kutoka nchi ya kigeni na raia walio katika nchi za kigeni hayawahusu watanganyika.
 
Hizi nchi zinazokataza uraia pacha ukiziangalia kwa makini utagundua hazinufaiki na chochote zaidi ya kujitengenezea umaskini na ujinga tu!
Na wewe kwa ujinga wako unafikiri uraia pacha kwa nchi ya kiafrika una faida gani kama sio nchi kuwekewa wasaliti na majasusi ili kuhujumiwa maendeleo yake.
 
T
 
Na wewe kwa ujinga wako unafikiri uraia pacha kwa nchi ya kiafrika una faida gani kama sio nchi kuwekewa wasaliti na majasusi ili kuhujumiwa maendeleo yake.
Uhujumiwe una nini cha maana wewe? Waache kuhujumiwa watu wanaoendesha dunia uhujumiwe wewe kapuku?
 
Mimi mwenyewe nahisi ni mtego huu.
Huwezi kuletewa zengwe na wahuni baada ya kumiliki mali ili ukimbie nchi,!
 
Broda Pasko 'Mayala' njaa alisema jiwe..
Jaribu uwaambie hao jamaa CRDB warekebishe mambo yao.
Mimi ni muhanga mwaka wa 3 + siwezi kulog inn kwenye acc yangu.service charge kila mwezi wanalamba.
Juzi wakasema acc iko freezed,why ooh tumebadili online service so acc yako ni dormant,
Km mna data zote hapo si mnarenew tu.
No inabidi nitume document zote upya.
Hiyo kazi kufungua hiyo acc haikua ndogo.
Nirudie tena.
Not in my dead body..
Waambie wajirekebishe tukiendelea na mjadala ntawataja wote hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…