Uraia Pacha, Wanadiaspora Mshukuruni Rais, sasa mnatambuliwa rasmi kwa Special Status ya Diaspora Tanzanite Card, una enjoy baadhi ya Haki za Uraia!

Watanzania ni watu wa ajabu sani ukiangalia kiundani Hali swala wengi wanaliangalia Kwa mitazamo ya kisiasa zaidi lkn serekali Hali swala hawatk kuliingia Moja Kwa wanajua baada ya kupitishwa tu kunachangamoto zitajitokeza Kwa hatua ya kwanza wanaangalia kujiridhisha ndani ya kipindi Fulani lazima kutahitaji marekebisho kwann tuwe na haraka juu ya jambo hilii serekali tuipongeze Kwa hatua za mwazo tusibir kipindi Cha mpito Kuna vitu tujajifunza
 
It start like a leaf then boom
 

Japo unaonekana kiazi lkn unahitaji msaada wa kueleweshwa, yaani watu walioenda nje ni kama mchaga kutoka Moshi kwenda kwenu Bariadi, akachume then mchaga mwenzake unaamuaje kwamba Moshi sio kwao tena? We Mungu? Kuchukua uraia ni kurahishisha mapito yake huko alipo lakini haiwezekani akaacha kuwa loyal kwa ardhi ya baba na mama yake, ndio maana mnasafirisha hata huko! Hii sio rocket science japo wabongo tuna low IQ

Yani tushindwe kutengeneza ndege na simu, hata kuamua mtu kwao ni wapi nayo tunashindwa? Nashindwa kuelewa kabisa level yetu ya ufahamu kama inafanana na binadamu wengine kabisa.
 
Utandawazi bro watakunasa
 
hebu eleza faida za uraia pacha, binafsi sizioni
Na wewe eleza hasara za uraia pacha, binafsi sizioni?
Na usilete upupu wa usalama wa taifa wakati kiinchi kinapumulia machine na kutegemea misaada ya wazungu
 
Hao watoto wako warudi Tanzania wapewe uraia wa kuandikishwa na waukane huo uraia wa Nchi nyingine. Uraia wa Nchi mbili utatuletea shida kwa Nchi masikini.
Akili za mbuzi hizi
Zinataleta shida gani kilaza wewe
 
Na wewe eleza hasara za uraia pacha, binafsi sizioni?
Na usilete upupu wa usalama wa taifa wakati kiinchi kinapumulia machine na kutegemea misaada ya wazungu
kama jambo halina faida lanini sasa? siwezi elezea hasara za jambo ambalo halina faida
 
Wewe hujielewi. Kwanini usikae huko unakopenda? Hiyo unayoshabikia ni sawa na kukubali kushirikiana Mkeo na Mwanaume mwingine.
Majibu ya kitoto sana, na hii ni taswira ya akili za wabongo, nchi imejaa wajinga wengi sana hii
 
kama jambo halina faida lanini sasa? siwezi elezea hasara za jambo ambalo halina faida
Nyinyi wa tokea 2007 ndio mnalalama humu kila siku JF imevurugwa na members wapya
Halafu unashindwa hata kujieleza kwenye swali dogo sana kama hili unazungungusha maneno!
 
Sasa mbona unaitamani si ubaki kwa wajanja? Yaani tukaribishe utakatishaji fedha katika Nchi kuwaumiza wananchi wetu wenye kipato kidogo?
 
Brothers, hebu pendeni nyumbani basi! Kwa nini mnapachukia nyumbani kiasi hiki? Sera mbovu? Umasikini?
Safi saana
Mimi nawaelewa Watanzania wanaoishi Ughaibuni bila ya kuomba uraia wa huko. Marekani unachukua Green Card na Canada unachukua Permanent Residence. Utaishi huko hata maia 30 na paspoti yako ya Tanzania bila ya kusumbuliwa. Utafanya kazi, utasoma kwa bei nafuu, utasafiri, utamiliki mali bila ya wasiwasi nk
Nani anabisha?
 
Umesahau. Baada ya kampuni ya ndege na uhamiaji pia kuna usalama au security check. Hapa kuna maofisa wetu mahiri ambao wana haki, uwezo na sababu ya kukusachi na kuona umebeba nini. Hiyo pasipoti yako ya Sweden uliyoficha itapigwa x ray au itapapaswa na kugundilikana. Utawaambia nini hawa maofisa wa Tz?
Kuna wajanja wenzako pale JNIA wametozwa madola zaidi ya 4000 bila risiti!!
 
Hahaha wamshukuru mtu mwenye uraia pacha? Rais Samia SH, ni mzanzibari, na Wazanzibari wanakadi ya MZANZIBARI MKAZI, watanganyika hicho kibari hawapewi hata kama wanaishi Zanzibar. Lakini Mzanzibari anapewa NIDA. Huo kama siyo URAIA Pacha nini?
 
Paschal Mayala unamdanganya nani? Hebu soma makala yako uliyoandika juzi kwenye gazeti la mwananchi kuhusiana na jus soli. Najua wewe ni mwanasheria unajua nimaanishacho. Katiba ya Tanzania haimnyang'anyi mtanzania wa kuzaliwa uraia. Kinachofanyika ni uhuni na roho mbaya za watawala wetu ambao wengi wana uraia pacha wa siri ukiachia mbali magabacholi. Kwa mtu anayejua sheria, hadhi maalumu ni utapeli wa CCM sawa na utapeli mwingine kama demokrasia, vyama vingi, uwekezaji, kutetea wanyonge, uchawa na upuuzi mwingine. Kwa walio nje wenye uwezo, tafuteni nchi kama Botswana muwekeze badala ya kuwekeza kwa hawa wasenzi na waviiivu na wezi wanaotaka pesa zenu lakini siyo nyinyi.
 
Unaishi mapori ya mkoa gapi?
Wewe usirithika na Nchi yako ndio uko maporini. Unahangaika na Uraia Pacha haurithiki na Nchi yako kulikoni, kana Uraia huo wakukaribishe kwingine maana Umalaya wa Uraia si mzuri.
 
very true, serikaki wanataka kuwaminya vizuri diaspora through that status ya kisenge kisenge itayowabana kwenye couner na kuisujudia serikali kwa uoga wa kupoteza mali watakazowekeza Tz

mpuuzi sana samia[emoji34]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…