Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Lakini jamani kwanini suala hili linachukuliwa kama jambo dogo?kwanini tusiitishe mjadala wa kitaifa?KIKWETE TAFADHALI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Lakini jamani kwanini suala hili linachukuliwa kama jambo dogo?kwanini tusiitishe mjadala wa kitaifa?KIKWETE TAFADHALI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

Mjadala wa Kitaifa una umuhimu wake katika mambo kama haya; ila kwa kusoma maoni yako naona kama vile hukubaliana na hii hoja..au nimekosea??
 
You're 100% right Mkuu, It is about time. Thank you Membe for your efforts and dedication about this issue.


Mkuu,

Kwa jinsi nilivyoelewa ni kuwa kutakuwa na muswada wa mabadiliko ya sheria bungeni kabla mwisho wa mwaka huu sio..au sijaelewa?
 
Mkuu

Uzalendo ni HIARI ya mtu, huwezi kuwabana Wananchi na SHERIA halafu ukadai lengo ni kuongeza Uzalendo..!!
 
Mkuu,

Kwa jinsi nilivyoelewa ni kuwa kutakuwa na muswada wa mabadiliko ya sheria bungeni kabla mwisho wa mwaka huu sio..au sijaelewa?


Nami nimeelewa hivyo Mkuu, Mtu wa karibu na Membe amenitonya kwamba Membe pia alitafuta maoni kutoka nchi mbali mbali kuhusu faida na athari za uDC, lakini Vingunge wa nchi zote waliompa maoni yao hawakuwa na baya la kusema kuhusiana na uDC. Kwa hiyo kama hawakutokea wale wenye ntima nyongo na kutaka kuzisimamisha juhudi za Membe katika swala hili, basi labda 2011 mambo yatakuwa bambam.
 
I don't understand exactly why some people were going off the deep about this issue. I don't see anything wrong with it so long as the laws clearly state the stipulations to be followed.

I don't think the people who opposed it were genuine. I somehow feel their opposition was fueled by envy. But I'm glad now the govt. finally has decided to come around on the issue and hopefully sign it into law.
 

Hoja yote iko hapa:

"One of the proposed constitutional clauses on the matter suggests that a citizen, by birth or descent, shall not lose that citizenship by acquiring the citizenship of another country".

Kwa uelewa wangu ni kuwa ukiwa Mtanzania hupotezi uraia wako kwa kuomba uraia wa nchi nyingine; lakini huwezi kuwa sio Mtanzania halafu uruhusiwe kuwa Mtanzania na kubakiza uraia wako wa asili...sioni ubaya wowote kabisa kwenye hili.
 
Tread carefully on dual citizenship, govt urged

By The Citizen Reporter
Jan 21, 2010


The government should be extremely careful when drafting a bill on dual citizenship to avoid abuse if it is enacted.

Though allowing dual citizenship will be such a relief for people who do not want to forsake patriotism at the expense of their survival abroad, some might use it for wrong purposes, observed Mr Freddy Macha, a Tanzanian living in Britain.

"Dual nationality is best for law-abiding citizens, for people wanting to bridge gaps between countries, for those working towards a better understanding of societies," he told The Citizen yesterday.

Mr M. M. Mwanakijiji, a Tanzanian living in Detroit, US, is against such as, saying reasons given to have it are weak.

He said arguing that the law would enable Tanzanians living abroad to invest back home did not hold water as citizenship was not among conditions to invest in the country.

"Many investors in Tanzania are foreigners and not indigenous Tanzanians. This shows that things might be easier for someone living abroad to invest in Tanzania as a foreigner," he said.

He also said it was disturbing that when discussing dual citizenship, many people had been countries such as the US, Canada and the UK in mind and seldom talked about Kenya, Uganda, Rwanda, Malawi and other countries.

"How will a person holding dual citizenship of Tanzania and Somalia help Tanzania?" he said.

He also warned against possible economic crimes and espionage especially if the citizenship involves economic giants. He gave an example of Chinese nationals holding American citizenship who sold some US secrets to China.

Mr Mobhare Matinyi, a Tanzanian consultant based in Washington DC, US, said dual citizenship had disadvantages and advantages "depending on how we enact the law and formulate our policy."

"The problem is that our country has serious weaknesses in safeguarding its interests as it happened in the Mining Act, Bank of Tanzania operations, government houses and other things," he said.

However, he said it was embarrassing for a child born of bona fide Tanzanian to be required to renounce one citizenship by the time he/she reaches 18.

The Tanzania Professionals Network (TPN) recently observed that lack of a law allowing dual citizenship was a stumbling block to Tanzanians in the Diaspora.

TPN president Sanctus Mtsimbe told The Citizen yesterday in Dar es Salaam that the network was campaigning for the enactment of the law on dual citizenship.

"We observed, for instance, that there are no good strategies and policies for facilitating easy investment by those who have decided to return back home. Such policies would encourage Tanzanians living abroad to return home and invest," he said.

On Tuesday, Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe announced that the government would enact the dual citizenship law before the end of this year.
 
huyo Mwanakijiji si ndie aliyesoma bure hapa Bongo then amepelekwa huku na huko mpaka sasa yupo USA eti hatuwezi kuwa na duel citizen,
 
Hapa Amerika, wa-Somali na wa-Pakistani wenye dual citizenship, wakienda kwao kupigania nchi zao inakuwa nongwa!

Lakini wa-Israeli walio na dual citizenship wakienda kupiganiakwao, ni baraka!

Yatatupata nasi...amkeni!

Pili, wakubwa wameiba pesa zetu na kuziweka nchi za nje, eti ni "vi-ji-senti" na sio hata "vi-senti"! sasa wanataka kuwajengea watoto wao nchi mpya za ughaibuni!
 
Hapa Amerika, wa-Somali na wa-Pakistani wenye dual citizenship, wakienda kwao kupigania nchi zao inakuwa nongwa!

Lakini wa-Israeli walio na dual citizenship wakienda kupiganiakwao, ni baraka!

Yatatupata nasi...amkeni!

Pili, wakubwa wameiba pesa zetu na kuziweka nchi za nje, eti ni "vi-ji-senti" na sio hata "vi-senti"! sasa wanataka kuwajengea watoto wao nchi mpya za ughaibuni!
 
Tatizo Membe anadhani hii ni issue ya kumpatia uraisi 2015, manke yeyey penye unaunga mkono chochote si unakumbuka wakati wa OIC alisema pesa hata ikitoka kwa shetani tuchukue? kwa kifupi hakuna hata haja ya Dual citizenship kuna mambo msingi mengi zaidi ya hili . Na hapao ndio kina RA watapoteleza.. hili jambo ni kwa manufaa ya mafisadi na wanatumia watanzania walioko nje kama chambo .. wabongo na wabunge amkeni na kupinga jambo hili
 
I use the phone nokia6300 sorry 4that



Hivi kwanza hao watanzania wenyewe walioko nje ni wangapi ? pili hiyo mitaji ambayo membe anasema iko wapi? na je ni watanzania wangapi ambao wanataka kuwekeza lakini wanakwamishwa na Uraia?

yani Membe kwa kushabikia mambo yasiyo na mshiko sikuwezi.

Kaka umefafanua vizuri sana
 


Hivi kwani .. ni kwa nini unataka kuwa raia wa nchi mbili?
 



Hivi wewe benard Membe mbona unalinganisha mambo yasiyo na uhusiano? je unajua hao watanzania wako walioko nje wanafanya nini kwa sasa? Hao waGhana unaowalinganisha unajua kazi wanazozifanya huko nje ? Kwa hiyo tukiruhusu uraia na sisi tutapata dola bilioni 2.% kutoka kwa watanzania walioko nje? Yani sometimes nasikia aibu kwamba wewe ndie Waziri wangu wa mambo ya Nje..

Ndio manan ulilaani report ya mitaani na kisha uliwahi kusema kuwa suluhisho la ajili Tanzania ni kuwa na double road kwenye njia zote kuu la sivyo ajali zitaendelea..... nimekukoti na nilikusikia kwa masikio kwenye TV nkasema duu hayay waziri tunae... double road dar-moshi, darmbey .. vinginevyo ahaha ajali zitaendelea tu teheteh... vipi uwezo wa madereva , rushwa kwa trafick .. you cant fix that mheshimiwa.
 
kazi kwelikweli....sijui tufungue shule gani watu waelimike!!kama dual citizenship watu hawawezi kuona faida yake kiasi cha kumlaumu membe in person basi tuna mengi ya kueleweshana!..kwa kifupi serikali iharakishe kuwezesha hiyo hoja, DC ni muhimu kwa dunia ya sasa wanaopinga ni watu wenye mawazo ya mifukoni mwao na wala hawana mawazo ya kinchi.kabla hujatoa comment jaribu kufikiria kuhusu mjukuu wako miaka 20 ijayo atakuwa na biashara yake huko canada na masharti ni lazima alipe kodi 50% kama sio raia wa huko naye ni enterpreneur na biashara yake inafanya vizuri huko sasa bora nini aukatae uraia wa TZ ili afanye biashara huko au aache hiyo biashara ama awe raia wa nchi zote let's think big guys!!!sio kwa sababu we unaishi dodoma basi mambo yote yanayohusu nje ya nchi yetu ni utumwa!!!!!!!
 
mtu hazaliwi mzalendo bali huzaliwa mwananchi.
hivyo uraia wa nchi zaidi ya moja hauwezi kumfanya mwenye
kuwa nao awe mzalendo zaidi au akose uzalendo.

kwani wote waliosaini mikataba mibovu za madini, waliohusika na unanyasaji wa wananchi huko loliondo na kwingine, waliouwa mashirika za umma, mafisadi wa epa nk walikuwa na dual citizenship?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…