Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

Kaka fanya maombi Kaka, tumia tiba ya chumvi ya mawe ni msaada pia
Alaf kuna kitu umenisanua kaka, inakuaje kutongoza inakuwa shida kupata mwanamke siku hizi inanifanya natafuta madada poa tu, natongoza sana wanawake wa mitaani siwapati wananipotezea.

Naona najitia mikosi, kuna kipindi nlikuwa kwenye maombi na kutumia tiba ya chumvi ya mawe mikosi ilipungua mpaka nikajikuta nimefanikiwa kwenye jambo adhim la kuendesha maisha yangu na kuweza kujitegemea mwenyewe.

Sasa naona nimezidi katika uraibu wa kupenda ngono kupita kiasi.

Hili lazma nilitafakari kuna roho chafu inanitembelea sio siri.
 
Daah
Daah yaan najiona napoteza hela tu kwa kutafuta madada poa ambao hata shukran hawana wao hela mbele tu.

Nitajikagua kaka hii hali si ya kawaida
na sio kutafuta binti was kuwa nae kwa ajili ya ngono tu.(la hasha).
👉Lengo ni kuwa na mipango sahihi, ikiwemo kutengeneza familia thabiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…