Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

Umesahau pia kuingia jamii forums nao ni uraibu , tunatumia pesa kwa bando🀣🀣
Matumizi ya simu ni uraibu
Kweli, ila wengine hii ni sehemu ya chanzo Cha taarifa mkuu.
πŸ‘‰Na connection mbali mbali
 
Nimekula nimeshiba, nimekunywa kidogo, Nimelipa Kodi, sidaiwi, na akiba kidogo CRDB, team zangu nazoshabikia zinafanya powa kuanzia jangwani hadi Madrid afu nisingonoke πŸ€”πŸ€”labda sio mimi
Kaka Kama una mwenzi mmoja (mkeo) hio Safi, ila sio kila sketi una ikimbizaπŸ˜‚πŸ˜‚.
πŸ‘‰Kuna upotevu was pesa, muda na hata afya
 
Naunga mkono hoja πŸ‘πŸ‘
 
Sawa tunashukuru kwa picha ila kwan ungepungukiwa nini kama ungekafanya kapicha kawe kadogo tu namna hii??πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 2815746
NB:
Tecno na infinix ndio huwa na screen ndefu sana.

Ahsante
Shida Ume kalia ujuaji, ulicho kiona ni Aina ya simuπŸ€”. Au una taka tuli amshe vagiiπŸ€’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…