Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

As long as mambo yako ya msingi ya maisha yanaenda na unajikinga na magonjwa matatizo na mimba za bahati mbaya... endelea na maisha hayo coz it is ur lyf mtu asikupangie
Thubutu.....mtu anayeshindwa kujizuia ni mtu hatari sana kwa kusambaza mimba kama.maharage na kutelekeza hovyo.

Mtu wa namna hiyo ni mtu asiyejali sana sana ana chanzo cha pesa( most likely sio kwa nguvu yake) na ndio inampa kibri cha kutomb* wanawake kila kona.
Mtu aisiyejizuia kwenye ngono hawezi kufanikiwa kwa mambo mengine kwa jitihada zake binafsi.

Never on Earth
 
Kaka huyo Jamaa ni mbishi na mjuaji, so una jicchosha tu.
👉Kasahai Kuna upotevu was muda
👉Pesa, na hata Magonjwa
 
😴 Fallacious..ila sawa Baki na Imani yako mkuu...ila ngono ni kitu natural sio kitu Cha kuwa shamed off
 
Nadhani sisi binadamu linapokuja suala la fedha kila mtu kuna sehemu uwa anaitapanya anapoipata. Suala la kujiuliza ni inayotapanywa ni ile inayobaki baada ya matumizi ya msingi kama chakula, ada, makazi? Kama ndiyo tusihukumu kama siyo tuendelee kukumbushana.

Asipobeti atahonga asipohonga atalewa asipolewa atahangaika na vitu visivyo na maana kama kukimbizana na fashion.
 
Ila tufanye kwa Kiasi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…