Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #141
I mean no malice to nobodyHii imeendaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majanga sana
View attachment 2815731
Tuwa achie Mambo yao๐คHakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Wasalimie hapo kikicho Cha wapiga miti ๐ค๐คUpo sahihi kabisa, na chochote kikizidi hubadilika na kuleta shida
Watu hawajui kama wanakusanya mikosi na laana kwa kulala na madada poa..unakusanya souls za kila aina na nying zinakuwa mbaya..utashuka kibiashara hata kiuchumi kwasababu mna exchange damu baina ya watu 2..Daah
Daah yaan najiona napoteza hela tu kwa kutafuta madada poa ambao hata shukran hawana wao hela mbele tu.
Nitajikagua kaka hii hali si ya kawaida
Uko sahihi, tendo la ndoa SI Mwili tu, Bali mpk rohoni pia๐คWatu hawajui kama wanakusanya mikosi na laana kwa kulala na madada poa..unakusanya souls za kila aina na nying zinakuwa mbaya..utashuka kibiashara hata kiuchumi kwasababu mna exchange damu baina ya watu 2..
Oya mzee mbona kimya, au ndo uko sero๐๐.Upo sahihi kabisa, na chochote kikizidi hubadilika na kuleta shida
Uko sahihi Sana, notedWatu hawajui kama wanakusanya mikosi na laana kwa kulala na madada poa..unakusanya souls za kila aina na nying zinakuwa mbaya..utashuka kibiashara hata kiuchumi kwasababu mna exchange damu baina ya watu 2..
Love u more ๐๐๐โค๏ธ
Sasa MKONGO umekufanyia nini ?Sina force mtu mkuu, ila nakufundisha
[emoji117]Ngono iliyo kithiri, Humu Kuna utumiaji was madawa hovyo- mfano mkongo, mkuyati, Viagra[emoji849][emoji848].
[emoji117]Magonjwa ya ngono- kaswenee, gono, vvu