christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Mkuu heshimu utawala uliowekwa kisheria umemchoka wewe sisi tunamtaka sana aendele kunyoosha nchi."Wana jamvi tuliochoshwa na huu utawala wa mtawala wa nchi ile hebu tuimbe haka kanyimbo hadi asikie aelewe kuwa hatuutaki uongozi wake na matendo yake"
Nimepita kijiwe cha wana CCM kindakindaki nimesikia wakiimba na kuelezana. Kweli wamemchoka!
Usiseme tutaacha semaHivi tutaacha lini kufuata mkumbo
Mbona segerea wanaimba wana imani na Mbowe?!!!"Wana jamvi tuliochoshwa na huu utawala wa mtawala wa nchi ile hebu tuimbe haka kanyimbo hadi asikie aelewe kuwa hatuutaki uongozi wake na matendo yake"
Nimepita kijiwe cha wana CCM kindakindaki nimesikia wakiimba na kuelezana. Kweli wamemchoka!
Akitoka Magu ni Majaliwa, mchaka mchaka mpaka mkimbie nchi kudadadeki
John upya wake uko wapi? wa kuvunja sheria? Kupiga watu risasi? mabomu ofisi za mawakili? MKIRU? Azory, Bne, jitafakari , John!Najaribu tu kuwakumbusha wale wenye tabia za kusahau kuwa kwenye hii CCM mpya hakuna aliye maarufu kuliko chama, na lolote lawezekana kwa yeyote. Tuache tabia ya kukariri tafadhali.
Niishie hapo!
Mimi ninawashangaa sana mnaompa Membe uwezo ambao hana ndani ya CCM.Siasa ni karata.
Kadribunavyozichanga vizuri ndo unavyoweza kujiongezea ujiko.
Mh Membe sasa hivinanasikikabsana, kiasi amnacho wengi wanajipotezea muda mrefu kumjadili, ndani na nje ya chama.
Na nd Bashiru anaongoza juhudi hizo ambzo mimi nsona hazina tija.
Rais tunaye mmoja na kikatiba, ni Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Na kwa utaratibu wa kistaarabu tu, atakuwa rais hadi 2025.
Hivyo basi ili kuondoa sintofahamu ya malumbano ndsni ya chama, na kukubali kujishusha tabia ile waingereza wanasema ego, Membe amuunge mkono Prez Magufuli, tena hadharani.
Hii itampa amani ya moyo, ndugu Bashiru na kuondoa malumbano ndani ya chama chetu.
Bado kuna 2025, Membe utskuwa na muda mrefu kujitayarisha.
Akikamata uraisi itakuwa poa sana jamaa saivi anafuata mdundo wa magufuli naye anaucheza hivyo hivyo japo anaumia sana ila hana jinsi,akiwekwa waziri mkuu 2020 ndo keshakuwa raisi 25.Msjaliwa Safi Sana Hana shida kwa Sasa inabidi kuigiza na kwenfa na mlio wa ngoma but majaliwa deserve to be president
Hata hivyo kwasababu Maneno ya Wanasiasa kwa Mtanzania wa Kawaida ni Kama Maandiko ya Kitabu Kitakatifu cha Mungu (Biblia au QURÁN), nadhani atakuwa amejijenga na kukijenga vizuri Chama chake cha ACT-WAZALENDO. Ndiyo Siasa zetu hizo , uongo uongo, ulaghai laghai,, Nyota ikikuwakia unakua Juu.
Kuna mchezo Wapinzani wanaucheza wa Kumfagilia Benard Membe ili ahamie Upinzani. nimeshajiridhisha kwamba Membe atahamia Upinzani na ni ACT-WAZALENDO. Endapo hili litafanikiwa, 2020 ACT-Wazalendo ni Chama Kikuu cha Upinzani.
Hii Mada iwe kama kumbukumbu 2020 tutafanya rejea.
Nawatakia Ijumaa Njema.
Namshauri ahamie CUF na then Colabo 2020