GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mi nitaungana na Wewe kumsambaratisha .
Hivi hizi Hela / Pesa ambazo Membe na Kikundi chake cha ' Propaganda ' anazowapeni hadi tokea juzi, jana na leo naona kila mara mnafurika tu hapa Kumuanzishia ' Threads ' kwanini asizikusanye zote na awarudishie Familia ya Hayati Rais wa Libya Muamar Gadhaffi? Mwambieni kabisa kwamba ile ' laana ' ya yule Balozi wa Libya nchini Tanzania aliyefia Ubalozini haitomuacha salama na ni bora aanze ' Kutubu ' kama siyo ' Kuungama ' mapema. Hata afanye vipi na aende wapi Bernard Camilius Membe hawezi na hana uwezo wa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ikitokea akawa basi kwa mara ya Kwanza Tanzania jiandaeni kushuhudia Kundi la Waasi litakaloongozwa na ' Shadow General ' au ' Warlord ' aitwae GENTAMYCINE na nina uhakika ' Utawala ' wake hautokaa / hautodumu / hautochukua muda mrefu na hatimaye sasa Watanzania wote mtakuwa chini ya Uongozi wa muda wa GENTAMYCINE ambapo nitaitisha Uchaguzi mpya na halali na Mshindi ambaye nitaona anafaa Kuwaongozeni Watanzania nitamkabidhi nchi na Mimi kurejea zangu Kutiririka na Kuserereka hapa Jamvini JamiiForums kama kawaida.
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.
JIWE=PRESIDENTIAL RUBBISH.
MEMBE > JIWE
Hence MEMBE FOR PRESIDENCY 2020.
#CCMTwendeniNaMEMBE2020
#MEMBEkwaUSHINDIwaUHAKIKA.
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.
JIWE=PRESIDENTIAL RUBBISH.
MEMBE > JIWE
Hence MEMBE FOR PRESIDENCY 2020.
#CCMTwendeniNaMEMBE2020
#MEMBEkwaUSHINDIwaUHAKIKA.
...kwa hiyo kwasababu huyu anavurunda basi ni sahihi kumuingiza MTU atayevurunda zaidi mwingine ?!Ni kitu gani huyu wa sasa alimchomzidi nacho Membe kwa maoni yako?
How?You are causing a serious problem upon him!! Sure I tell you
...hizo personalities nilizokimbilia ni zipi mkuuSasa mkuu badala ya kujibu swali nilokuuliza, ambalo pengine huna jibu lake ndiyo maana umekimbilia kwenye personalities again.
Mbona umekasirika mkuu?Utakula diplomasia? Pumbavu
Kwani huyu wa sasa anavurunda wapi?...kwa hiyo kwasababu huyu anavurunda basi ni sahihi kumuingiza MTU atayevurunda zaidi mwingine ?!
Mkuu Genta jiandae na hilo kundi lako kufanya mapinduzi. Tumechoka kuongozwa kibabe kwa kuhubiriwa maendeleo ambayo hayana maajabu yoyote. Hatumfagilii Membe lakini kama ataweza kutuondolea hili bazazi la demokrasia tutamuunga mkono kinafiki. Sioni tofauti yoyote ya huyo Membe mwizi na huyu anayeratibu chaguzi za mabavu na kuendesha hujuma za wazi kwa yoyote asiyekubaliana na mitazamo yake.
Ameingia madarakani kwa njia ya demokrasia ni lazima aheshimu mfumo huo, vinginevyo apindue nchi aongoze kijeshi. Nitakuunga mkono ukiingia msituni kupindua huo utawala wa Membe ila uruhusu tumchague tumtakaye kwa njia ya demokrasia na yeye aitii demokrasia.
Muulize huyo jmush1 mkuu...mimi sina shida kabisa na huyu wa sasaKwani huyu wa sasa anavurunda wapi?
usiniambie !!?Mkuu Korosho ndiyo imeiua haya yote! Yamkini kuna kitu kweli kafanya nyuma ya pazia
Wapinzani ni wepesi sana kutongozeka! Kiufupi nyie hata mambo yanayo wapotezea muda na kuwapumbaza hamuwezi kuyajuaKwa taarifa yako na hili bandiko lako refu JK alimtaka Membe na kwa sababu ya hiyo nguvu ya Lowassa ndani ya ccm ndio iliyopelekea Magufuli kuitwaa hiyo nafasi. Usitake kumpa JK sifa asiyokuwa nayo. Na huyu Magu na vile hawezi siasa za ushawishi ndio atapigwa chini kirahisi. Huu ndio mwisho wa kikundi cha utekaji na kupiga risasi wengine.
Nami nasubiri kwa hamu siku hiyoView attachment 913562
Kila niionapo hii picha huwa nafarijika sana huku nikiwaza siku yake ya kuapishwa pale uwanja wa Taifa akinamama akina baba wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu watakavyozimia kwa furaha.