Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Hivi hizi Hela / Pesa ambazo Membe na Kikundi chake cha ' Propaganda ' anazowapeni hadi tokea juzi, jana na leo naona kila mara mnafurika tu hapa Kumuanzishia ' Threads ' kwanini asizikusanye zote na awarudishie Familia ya Hayati Rais wa Libya Muamar Gadhaffi? Mwambieni kabisa kwamba ile ' laana ' ya yule Balozi wa Libya nchini Tanzania aliyefia Ubalozini haitomuacha salama na ni bora aanze ' Kutubu ' kama siyo ' Kuungama ' mapema. Hata afanye vipi na aende wapi Bernard Camilius Membe hawezi na hana uwezo wa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ikitokea akawa basi kwa mara ya Kwanza Tanzania jiandaeni kushuhudia Kundi la Waasi litakaloongozwa na ' Shadow General ' au ' Warlord ' aitwae GENTAMYCINE na nina uhakika ' Utawala ' wake hautokaa / hautodumu / hautochukua muda mrefu na hatimaye sasa Watanzania wote mtakuwa chini ya Uongozi wa muda wa GENTAMYCINE ambapo nitaitisha Uchaguzi mpya na halali na Mshindi ambaye nitaona anafaa Kuwaongozeni Watanzania nitamkabidhi nchi na Mimi kurejea zangu Kutiririka na Kuserereka hapa Jamvini JamiiForums kama kawaida.

Mkuu Genta jiandae na hilo kundi lako kufanya mapinduzi. Tumechoka kuongozwa kibabe kwa kuhubiriwa maendeleo ambayo hayana maajabu yoyote. Hatumfagilii Membe lakini kama ataweza kutuondolea hili bazazi la demokrasia tutamuunga mkono kinafiki. Sioni tofauti yoyote ya huyo Membe mwizi na huyu anayeratibu chaguzi za mabavu na kuendesha hujuma za wazi kwa yoyote asiyekubaliana na mitazamo yake.

Ameingia madarakani kwa njia ya demokrasia ni lazima aheshimu mfumo huo, vinginevyo apindue nchi aongoze kijeshi. Nitakuunga mkono ukiingia msituni kupindua huo utawala wa Membe ila uruhusu tumchague tumtakaye kwa njia ya demokrasia na yeye aitii demokrasia.
 
Nna mwaka sasa nazungushwa malipo yangu ya kupanda cheo..ila naambiwa nipige kazi moyo wa kufany kaz ntaupata wap
 
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.

JIWE=PRESIDENTIAL RUBBISH.

MEMBE > JIWE

Hence MEMBE FOR PRESIDENCY 2020.

#CCMTwendeniNaMEMBE2020
#MEMBEkwaUSHINDIwaUHAKIKA.

Mwambie Kwanza katika ' Kumsambaratisha ' na Kumuharibu kama siyo Kumtesa ' Kisaikolojia ' nitaanza na Yule ' Mamsampu ' wake aliyempangia Kawe nyumba jirani na inayotazamana na Kanisa la KKKT Kawe. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Ni kitu gani huyu wa sasa alimchomzidi nacho Membe kwa maoni yako?
...kwa hiyo kwasababu huyu anavurunda basi ni sahihi kumuingiza MTU atayevurunda zaidi mwingine ?!
 
Sasa mkuu badala ya kujibu swali nilokuuliza, ambalo pengine huna jibu lake ndiyo maana umekimbilia kwenye personalities again.
...hizo personalities nilizokimbilia ni zipi mkuu
 
Ajaye 2025 ni supa sub, na itapgwa sana mipira ya chini kuelekea 2035,pasipo kutanua sana uwanja, litakuwa soka safi "hybrid soccer", Mh Membe sidhan
 
Mkuu Genta jiandae na hilo kundi lako kufanya mapinduzi. Tumechoka kuongozwa kibabe kwa kuhubiriwa maendeleo ambayo hayana maajabu yoyote. Hatumfagilii Membe lakini kama ataweza kutuondolea hili bazazi la demokrasia tutamuunga mkono kinafiki. Sioni tofauti yoyote ya huyo Membe mwizi na huyu anayeratibu chaguzi za mabavu na kuendesha hujuma za wazi kwa yoyote asiyekubaliana na mitazamo yake.

Ameingia madarakani kwa njia ya demokrasia ni lazima aheshimu mfumo huo, vinginevyo apindue nchi aongoze kijeshi. Nitakuunga mkono ukiingia msituni kupindua huo utawala wa Membe ila uruhusu tumchague tumtakaye kwa njia ya demokrasia na yeye aitii demokrasia.

Ni kweli kama Membe akiwa Rais siwafichi naingia ' Msituni ' rasmi na najua nitapata Ushirikiano wa nani au nchi gani ila nina uhakika kama akidumu sana basi itakuwa ni Wiki mbili tu au Mwezi ila ' nitamsumbua ' na ' nitamtesa ' mno kisha najua nitammudu na nikisha ikamata Tanzania yote bila hata Kinyongo naitisha Uchaguzi wa Haki na Halali na Mshindi yoyote atakayepatikana nitamkabidhi nchi yenu mara moja ili aongoze Kiustaarabu na Kidemokrasia kisha ' Mwanamume ' narudi zangu Nyumbani Kwangu ninakokupenda JamiiForums naendelea kuangalia ' Mpuuzi ' mwingine atakayeleta ' Fyoko Fyoko ' nimuendee tena Msituni.
 
Kwa taarifa yako na hili bandiko lako refu JK alimtaka Membe na kwa sababu ya hiyo nguvu ya Lowassa ndani ya ccm ndio iliyopelekea Magufuli kuitwaa hiyo nafasi. Usitake kumpa JK sifa asiyokuwa nayo. Na huyu Magu na vile hawezi siasa za ushawishi ndio atapigwa chini kirahisi. Huu ndio mwisho wa kikundi cha utekaji na kupiga risasi wengine.
Wapinzani ni wepesi sana kutongozeka! Kiufupi nyie hata mambo yanayo wapotezea muda na kuwapumbaza hamuwezi kuyajua
 
Back
Top Bottom