Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kumpenda Magufuli ni sawa na kumpenda Shetani,Ibilisi na Lucifa

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Haahahaahahah waache waendelee kuishabikia CCM .......CCM OYEEEEEE
MAGUFULI OYEEEEEEEE
MAKONDA OYEEEEEEE
BASHIRU OYEEEEE
WAZIRI WA SHERIA OYEEEEE
YESU OYEEEEEEE
MUHAMAD OYEEEEE
YEHOVA OYEEEEE
Mtaumbuka tuuh!! Ata tuliyoko ccm hatugawi kura zetu kwa bwana stone na chamani hatuhami..
 
1.Mwanadiplomasia mzoefu.
2.Mwanakitengo mstaafu
3.Msomi aliyeelimika
4.Ana busara na hekima
5.Mzalendo
6.Mbunifu
7.Mediator mzoefu

Nimalizie tu hapo, ni jinsi tu ninavyomfahamu. Ni hivyo tu basis.
Membe anafaa sana,kwanza kichwa chake kimetulia ktk maamuzi siyo kama yule kichaa...

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu kisichojulikana kinafukuta mtaa wa lumumba.

Kitajulikana tu katika muda usiojulikana.
Hao ni bavicha..lumumba hakuna huo upuuzi..kutoka lowasa sasa ni membe..lumumba tuna vichwa vingi..muda ukifika utajua..hizo ni harakati za wafa maji chadema..ndio mabingwa wa kukoment na kulike..ukiona koment ina likes nyingi jua ufipa hao
 
Bado hajazaliwa mtu wakumtikisa Magu wanajidanganya tu na kuchezea nguvu zao pengine zingewafaa baada ya Magu kuondoka
 
Kama Mlishindwa kufanya maamuzi 2015 pambaneni na mizigo yenu hadi miaka 10 iishe.


Simlimtaka wenyewe?
 
Nchi ikivamiwa na ndui uchana mnaweza pembeni, kuna mhutu kwanza atolewe afu mengine badae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…