Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Bora wewe mkuu upo kazini una mshahara mwisho wa mwezi, kuna maelfu ya vijana wamemaliza vyuo hawana ajira tokea 2015 alipoingia bazazi wa demokrasia, maelfu wamefukuzwa kazi, hakuna fao la kujitoa, watumishi wanapelekeshwa mpaka kupigishwa magoti na wakuu wa wilaya/mikoa, wengine wanaondolewa kwa vyeti feki wengine wanaachwa, wengine wanabomolewa nyumba zao walizozijenga kwa kujinyima ila wasukuma wapiga kura wake anawakingia kifua.... wabunge wanajaribu kuwatetea wapiga kura wao jiwe anatishia kuwapiga mijeredi shangazi zao...
Kumpenda Magufuli ni sawa na kumpenda Shetani,Ibilisi na Lucifa

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Haahahaahahah waache waendelee kuishabikia CCM .......CCM OYEEEEEE
MAGUFULI OYEEEEEEEE
MAKONDA OYEEEEEEE
BASHIRU OYEEEEE
WAZIRI WA SHERIA OYEEEEE
YESU OYEEEEEEE
MUHAMAD OYEEEEE
YEHOVA OYEEEEE
Mtaumbuka tuuh!! Ata tuliyoko ccm hatugawi kura zetu kwa bwana stone na chamani hatuhami..
 
1.Mwanadiplomasia mzoefu.
2.Mwanakitengo mstaafu
3.Msomi aliyeelimika
4.Ana busara na hekima
5.Mzalendo
6.Mbunifu
7.Mediator mzoefu

Nimalizie tu hapo, ni jinsi tu ninavyomfahamu. Ni hivyo tu basis.
Membe anafaa sana,kwanza kichwa chake kimetulia ktk maamuzi siyo kama yule kichaa...

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu kisichojulikana kinafukuta mtaa wa lumumba.

Kitajulikana tu katika muda usiojulikana.
Hao ni bavicha..lumumba hakuna huo upuuzi..kutoka lowasa sasa ni membe..lumumba tuna vichwa vingi..muda ukifika utajua..hizo ni harakati za wafa maji chadema..ndio mabingwa wa kukoment na kulike..ukiona koment ina likes nyingi jua ufipa hao
 
Bado hajazaliwa mtu wakumtikisa Magu wanajidanganya tu na kuchezea nguvu zao pengine zingewafaa baada ya Magu kuondoka
 
Kama Mlishindwa kufanya maamuzi 2015 pambaneni na mizigo yenu hadi miaka 10 iishe.


Simlimtaka wenyewe?
 
Nimecheka Sana hii combination ya Chadema na ccm haijawahi tokea kweli Membe for presidence

Nini kimetokea kwa elimu yangu hapa nimetoka kapa kabisa labda ikifika kesho Jtatu nitajua maana Leo Jpili

Kweli siasa ya science Huu upendo na kupendana kwa ccm na Chadema nini kimetokea?
Nchi ikivamiwa na ndui uchana mnaweza pembeni, kuna mhutu kwanza atolewe afu mengine badae.
 
Back
Top Bottom