Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kwahiyo mkuu unatushauri tuendelee kutawaliwa na hawahawa ccm?

Jitafakari upya tatizo siyo Magufuli ba li tatizo ni ccm, ukikaa na ukatuliza akili utaelielewa hili vizuri, Magufuli ana kura moja tu hata kama ni ya veto, veto huwa haina nguvu ya kushindana na kura nyingi.

Ccm ni mashetani akiwemo huyo Membe, mateso tunayopitia leo hayaletwa na Magufuli bali ni mashetani wa ccm kuikataa rasimu ya katibsa mpya ya Warioba.

Someni biblia mtaelewa vizuri Mungu aliwachapa Waisrael pale walipokengeuka, na Watanzania wanastahili kuishi maisha magumu ili akili ziwarudie.
Mkuu pamoja ni ccm kuwa mbaya lakini pia kichaa kazidi ubaya kuliko hata wenzake kwahiyo inapokuja wakati wa kuchagua kichaa au Membe nasema bora Membe mara mia kuliko huyu jehanamu
 
hata mie nashangaa,na Mamods watakuwa wamepewa chao maana leo karibia nyuzi zote ni Membe tu
Labda Magufuli kwa hiyari yake aseme hataki muhula wa pili, lakini kama bado anataka kuendelea kula hakuna mwenye ubavu wa kumtowa siyo ccm walz upinzani, mfumo wa nchi hì uko hivyo, ingekuwa ni siasa za South Afrca hata mimi ningesapoti jiwe linang'oka, ila walivyo wapumbavu ccm kichaa huyohuyo wamempa na uenyekiti sasa kichaa ana rungu nani wa kutia pua?
 
"Waziri Mkuu hakikisha Bodi ya Korosho iliyopo chini yako unaisimamia, kama mtu hafanyikazi fukuza hata kama ni kila siku, ili unusuru maisha yako. Mimi sioni shida ya kumfukuza hata Waziri Mkuu kama mambo hayaendi."

Watu wamechoka kujazwa hofu wanataka kumpa naye hofu na ikibidi aondoke.
 
Mkuu pamoja ni ccm kuwa mbaya lakini pia kichaa kazidi ubaya kuliko hata wenzake kwahiyo inapokuja wakati wa kuchagua kichaa au Membe nasema bora Membe mara mia kuliko huyu jehanamu
Ccm iondolewe madarakani huu ndio mjadala tuache kujadili uppuzi, hakuns mwenye uwezo wa kumtikisa mwenyekiti wake katika ccm hakuna..
 
Huu ni upepo tu kama nyingine mf. pepo za Amber Rutty na Wema na zitapita
 
Wakuu samahani kwa kuwa outdated
Hivi Membe kafanya nini hasa?! Maana naona ghafla ana trend kila kona ya mtandao
Naomba msaada wa maelezo mafupi wa alichofanya au hata link nisome walau nipate mwanga
Membe hajafanya kitu. Ila ccm manunuzi na ccm asili wameungana na chadema wanataka mwisho wa jiwe uwe 2020 au kabla.
 
Ccm hakima mtu muhim. Ukitaka kujua angalia lowassa, sumaye, masha, kingunge na wengine wengi tu. Uimara wa chama ni wingi wa wanchama na so mtu mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom