Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
A proxy rodomontade of losers seeking relevance by any means necessary.
Shameful.
Shameful.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pamoja ni ccm kuwa mbaya lakini pia kichaa kazidi ubaya kuliko hata wenzake kwahiyo inapokuja wakati wa kuchagua kichaa au Membe nasema bora Membe mara mia kuliko huyu jehanamuKwahiyo mkuu unatushauri tuendelee kutawaliwa na hawahawa ccm?
Jitafakari upya tatizo siyo Magufuli ba li tatizo ni ccm, ukikaa na ukatuliza akili utaelielewa hili vizuri, Magufuli ana kura moja tu hata kama ni ya veto, veto huwa haina nguvu ya kushindana na kura nyingi.
Ccm ni mashetani akiwemo huyo Membe, mateso tunayopitia leo hayaletwa na Magufuli bali ni mashetani wa ccm kuikataa rasimu ya katibsa mpya ya Warioba.
Someni biblia mtaelewa vizuri Mungu aliwachapa Waisrael pale walipokengeuka, na Watanzania wanastahili kuishi maisha magumu ili akili ziwarudie.
Labda Magufuli kwa hiyari yake aseme hataki muhula wa pili, lakini kama bado anataka kuendelea kula hakuna mwenye ubavu wa kumtowa siyo ccm walz upinzani, mfumo wa nchi hì uko hivyo, ingekuwa ni siasa za South Afrca hata mimi ningesapoti jiwe linang'oka, ila walivyo wapumbavu ccm kichaa huyohuyo wamempa na uenyekiti sasa kichaa ana rungu nani wa kutia pua?hata mie nashangaa,na Mamods watakuwa wamepewa chao maana leo karibia nyuzi zote ni Membe tu
#MembeForPresidency
#MagufuliMustGo[/QUOT
Taking out a blood hungry fisting canine takes more than a mare political strategy.
Ccm iondolewe madarakani huu ndio mjadala tuache kujadili uppuzi, hakuns mwenye uwezo wa kumtikisa mwenyekiti wake katika ccm hakuna..Mkuu pamoja ni ccm kuwa mbaya lakini pia kichaa kazidi ubaya kuliko hata wenzake kwahiyo inapokuja wakati wa kuchagua kichaa au Membe nasema bora Membe mara mia kuliko huyu jehanamu
Ukijibiwa Ni tag mkuuWakuu samahani kwa kuwa outdated
Hivi Membe kafanya nini hasa?! Maana naona ghafla ana trend kila kona ya mtandao
Naomba msaada wa maelezo mafupi wa alichofanya au hata link nisome walau nipate mwanga
Membe hajafanya kitu. Ila ccm manunuzi na ccm asili wameungana na chadema wanataka mwisho wa jiwe uwe 2020 au kabla.Wakuu samahani kwa kuwa outdated
Hivi Membe kafanya nini hasa?! Maana naona ghafla ana trend kila kona ya mtandao
Naomba msaada wa maelezo mafupi wa alichofanya au hata link nisome walau nipate mwanga
Membe rais wetu ajae
Membe hajafanya kitu. Ila ccm manunuzi na ccm asili wameungana na chadema wanataka mwisho wa jiwe uwe 2020 au kabla.
Membe hajafanya kitu. Ila ccm manunuzi na ccm asili wameungana na chadema wanataka mwisho wa jiwe uwe 2020 au kabla.
Sio lowassa tena. Au atagombea kipitia chdema?Membe rais wetu ajae
Tumechoka na manunuzi ya wabunge na madiwani wanaounga mkono juhudi na kurudia uchaguzi ili wawe wabunge na madiwani wa CCMMtu JPM hana rahaa kabisaa na abia yake ya kujishtua