Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Julius NyerereRais anatoka kwenye baraza la mawaziri..
Hatujawai kuwa Rais kutoka nafasi ya uwaziri mkuu .
Ni mapema sana kuanza kumzushia mzee wa watu habari kama hizi. Yuko busy na uandishi wa kitabu chake.
Si December wala Camillius..!
Wapi bavicha wamekuwa na mahaba na Membe? Kuna tamko rasmi kutoka Bavicha? au haya ya mitandao ambayo ni CCM wale wale wanajigeuza kuwa Bavicha maana kusema kweli hawampendi JIWE wanasubiri opportunity to offer itself!Ni jambo la kushitua mno kwamba wafuasi wa Chadema sasa wamegeuka kuwa wafuasi kindaki ndaki wa Bernard Membe na muda wote hakauki midomoni mwao.!
Ikumbukwe Bernard Membe ni mwana ccm lakini anapata mahaba makubwa kutoka chadema kuliko hata kutoka ccm!
Kwa sasa ikitokea Bernard Membe nagombea urais na Freeman Mbowe ,Bavicha wote watamchagua Bernard Membe na kumtosa Mbowe!
Membe kukosa urais inawauma mno Chadema kuliko hata Membe mwenyewe inavyomuuma!
Swali la kujiuliza ,ni nini kimewatokea Bavicha hadi wakawa wafuasi wa kada wa ccm na kuacha viongozi wao wa Chadema?
VP umeanza lini kupiga ramli chonganishi na utabiri bandia?Ni jambo la kushitua mno kwamba wafuasi wa Chadema sasa wamegeuka kuwa wafuasi kindaki ndaki wa Bernard Membe na muda wote hakauki midomoni mwao.!
Ikumbukwe Bernard Membe ni mwana ccm lakini anapata mahaba makubwa kutoka chadema kuliko hata kutoka ccm!
Kwa sasa ikitokea Bernard Membe nagombea urais na Freeman Mbowe ,Bavicha wote watamchagua Bernard Membe na kumtosa Mbowe!
Membe kukosa urais inawauma mno Chadema kuliko hata Membe mwenyewe inavyomuuma!
Swali la kujiuliza ,ni nini kimewatokea Bavicha hadi wakawa wafuasi wa kada wa ccm na kuacha viongozi wao wa Chadema?
Hawezi kuelewa huyo .Ugomvi wa panzi furaha ya Kunguru
Julius Nyerere
From Prime Minister to President.
Ni wapi ambapo umiona CDM inampigia chapuo Membe?Maana sijaona taarifa rasmi ya chama ikisema hivyo au kiongozi yeyote wa CDM!!!!Msingi wa hoja yenu uko wapi?Chadema ni watu wa ajabu kweli, nilidhan wangemfikiria Lissu.
sio kweli..hujafanya utafiti au pengine unamchafua mtu 'kijanja'.. yote unayoyasoma mitandaoni kuhusu Membe sio yake!! ni kikundi cha watu kinatikisa kibiriti................................Ni jambo la kushitua mno kwamba wafuasi wa Chadema sasa wamegeuka kuwa wafuasi kindaki ndaki wa Bernard Membe na muda wote hakauki midomoni mwao.!
Ikumbukwe Bernard Membe ni mwana ccm lakini anapata mahaba makubwa kutoka chadema kuliko hata kutoka ccm!
Kwa sasa ikitokea Bernard Membe nagombea urais na Freeman Mbowe ,Bavicha wote watamchagua Bernard Membe na kumtosa Mbowe!
Membe kukosa urais inawauma mno Chadema kuliko hata Membe mwenyewe inavyomuuma!
Swali la kujiuliza ,ni nini kimewatokea Bavicha hadi wakawa wafuasi wa kada wa ccm na kuacha viongozi wao wa Chadema?
yote unayoyasoma mitandaoni kuhusu Membe sio yake!! ni kikundi cha watu kinatikisa kibiriti................................Chadema ni watu wa ajabu kweli, nilidhan wangemfikiria Lissu.
No, Prime minister of Tanganyika from december 9th 1961Pre- colonial era ( Tanganyika)
After pre- colonial era ( Tanzania)
Matusi ndiyo kiwanda pekee kilichofanikiwa hapo UfipaHivi kwa nini mkitifuana wenyewe huko ufisini lazima muihusishe Chadema? Wacheni upumbavu wenu, na mtamalizana sana kwa ujinga huu.Mtu akishindwa kumtia mimba mkewe mnaisingizia Chadema kwanini mnakuwa wapuuzi hivi?
No, Prime minister of Tanganyika from december 9th 1961
Then
President of the Republic Tanganyika and then Tanzania since 9th december 1962 to Nov 1984