Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Rais anatoka kwenye baraza la mawaziri..
Hatujawai kuwa Rais kutoka nafasi ya uwaziri mkuu .
Ni mapema sana kuanza kumzushia mzee wa watu habari kama hizi. Yuko busy na uandishi wa kitabu chake.

Si December wala Camillius..!
Julius Nyerere

From Prime Minister to President.
 
Jipe moyo tu kwakusema ni wanachadema ila ukweli wengi ni kutoka huko Lumumba.

Mchana wanamsifia ******** usiku wako na Joka la mdimu.
 
Ni jambo la kushitua mno kwamba wafuasi wa Chadema sasa wamegeuka kuwa wafuasi kindaki ndaki wa Bernard Membe na muda wote hakauki midomoni mwao.!

Ikumbukwe Bernard Membe ni mwana ccm lakini anapata mahaba makubwa kutoka chadema kuliko hata kutoka ccm!
Kwa sasa ikitokea Bernard Membe nagombea urais na Freeman Mbowe ,Bavicha wote watamchagua Bernard Membe na kumtosa Mbowe!

Membe kukosa urais inawauma mno Chadema kuliko hata Membe mwenyewe inavyomuuma!

Swali la kujiuliza ,ni nini kimewatokea Bavicha hadi wakawa wafuasi wa kada wa ccm na kuacha viongozi wao wa Chadema?
Wapi bavicha wamekuwa na mahaba na Membe? Kuna tamko rasmi kutoka Bavicha? au haya ya mitandao ambayo ni CCM wale wale wanajigeuza kuwa Bavicha maana kusema kweli hawampendi JIWE wanasubiri opportunity to offer itself!
 
Ni jambo la kushitua mno kwamba wafuasi wa Chadema sasa wamegeuka kuwa wafuasi kindaki ndaki wa Bernard Membe na muda wote hakauki midomoni mwao.!

Ikumbukwe Bernard Membe ni mwana ccm lakini anapata mahaba makubwa kutoka chadema kuliko hata kutoka ccm!
Kwa sasa ikitokea Bernard Membe nagombea urais na Freeman Mbowe ,Bavicha wote watamchagua Bernard Membe na kumtosa Mbowe!

Membe kukosa urais inawauma mno Chadema kuliko hata Membe mwenyewe inavyomuuma!

Swali la kujiuliza ,ni nini kimewatokea Bavicha hadi wakawa wafuasi wa kada wa ccm na kuacha viongozi wao wa Chadema?
VP umeanza lini kupiga ramli chonganishi na utabiri bandia?
 
Natamani siku rais wetu mpendwa awanyweshe pombe mpaka walewe watu kumi wa karibu wanaomsifia sana(wawe hata mawaziri) halafu awaulize 'hivi mnauonaje uongozi wangu?'

Majibu atakayopata yatamsaidia sana,sana.
 
Chadema ni watu wa ajabu kweli, nilidhan wangemfikiria Lissu.
Ni wapi ambapo umiona CDM inampigia chapuo Membe?Maana sijaona taarifa rasmi ya chama ikisema hivyo au kiongozi yeyote wa CDM!!!!Msingi wa hoja yenu uko wapi?
 
Hivi kwa nini mkitifuana wenyewe huko ufisini lazima muihusishe Chadema? Wacheni upumbavu wenu, na mtamalizana sana kwa ujinga huu.Mtu akishindwa kumtia mimba mkewe mnaisingizia Chadema kwanini mnakuwa wapuuzi hivi?
 
Ni jambo la kushitua mno kwamba wafuasi wa Chadema sasa wamegeuka kuwa wafuasi kindaki ndaki wa Bernard Membe na muda wote hakauki midomoni mwao.!

Ikumbukwe Bernard Membe ni mwana ccm lakini anapata mahaba makubwa kutoka chadema kuliko hata kutoka ccm!
Kwa sasa ikitokea Bernard Membe nagombea urais na Freeman Mbowe ,Bavicha wote watamchagua Bernard Membe na kumtosa Mbowe!

Membe kukosa urais inawauma mno Chadema kuliko hata Membe mwenyewe inavyomuuma!

Swali la kujiuliza ,ni nini kimewatokea Bavicha hadi wakawa wafuasi wa kada wa ccm na kuacha viongozi wao wa Chadema?
sio kweli..hujafanya utafiti au pengine unamchafua mtu 'kijanja'.. yote unayoyasoma mitandaoni kuhusu Membe sio yake!! ni kikundi cha watu kinatikisa kibiriti................................
 
Pre- colonial era ( Tanganyika)

After pre- colonial era ( Tanzania)
No, Prime minister of Tanganyika from december 9th 1961
Then
President of the Republic Tanganyika and then Tanzania since 9th december 1962 to Nov 1984
 
Hivi kwa nini mkitifuana wenyewe huko ufisini lazima muihusishe Chadema? Wacheni upumbavu wenu, na mtamalizana sana kwa ujinga huu.Mtu akishindwa kumtia mimba mkewe mnaisingizia Chadema kwanini mnakuwa wapuuzi hivi?
Matusi ndiyo kiwanda pekee kilichofanikiwa hapo Ufipa
 
Ha ha ha ha.. Masisiemu yanaogopa vivuli vyao wenyewe.. Membe wenu, Nape wenu, Jiwe wenu.. Ndio mjue kuna watu wengi ndani ya sisiemu humo hawana imani na Jiwe na utawala wake..
 
No, Prime minister of Tanganyika from december 9th 1961
Then
President of the Republic Tanganyika and then Tanzania since 9th december 1962 to Nov 1984

He served as prime minister from 1 may 1961 to 22 January 1962. ( Correct me)

Kutoka kipindi hicho hatujawai kuwa na rais kutoka nafasi hiyo. ( Nisahishe)

Karibu!
 
Back
Top Bottom