Ah! Itakuwa umefanya jambo la maana sana kuanzisha huo mjadala manake ni mada ambayo hata nami nimekuwa nikifikiria sana kuianzisha lakini najiona napenda sana kuchangia kuliko kuanzisha mada! Hiyo mada ni tamu sana manake inanikumbusha last year nilipokutana na Researcher mmoja wa Kimarekani ambae alikuwa anafanya utafiti kuhusu The One Belt Road Initiative and China Foreign Policy.Ulivyoongelea Bagamoyo Port umenigusa mtima wangu na kunikumbusha maono ya Jakaya na Membe potelea pote madhaifu waliyokuwa nayo. Ukiangalia juu juu unaweza ukachukulia kawaida sana, lakini SGR, BAGAMOYO PORT na NATURAL GAS MTWARA basi taifa hili lingejenge nguvu kubwa sana kiuchumi na kukuza ushawishi hapa Africa na Asia hasa sehemu kama India, Pakistan na Uchina. Sijui kwanini hili swala Raisi Magufuli alilichukulia kibinafsi (Personal) sana. Hivi ni nani alimshauri vibaya kwenye hili ???
Mkuu Chige muda si mrefu naanzisha huu mjadala wa Bandari hapa jukwaani.
Please stay tunned.
One of the case study ni Bagamoyo Port Project including other similar projects in Africa kama ile ya Ethiopia-Djibouti. Baada ya some chit-chat jamaa akaniuliza nina maoni gani kuhusu Bagamoyo Port Project!
Mzee nikafunguka kama nimemeza radio and in less than 3 minutes, nikagundua jamaa yupo kinda disappointed... alitarajia negative opinions lakini nilikuwa kinyume chake!!
Na ndio maana wala sikushangaa lilipozuka sakata la Wachina kukamata mali za nchi kufidia pesa zao kama walivyofanya kule Sri Lanka na Zambia (if they actually did it)!
Hilo nalo nilitaka kuleta mada hapa kwamba, "Wachezaji wa Ngoma ya Wachina na Ukamataji wa Mali Zetu ni Sisi, Je Tunamfahamu Mpiga Ngoma ni Nani!" Huyo Mheshimiwa ndie alini-inspire kutaka kuleta hiyo mada!