Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Ulivyoongelea Bagamoyo Port umenigusa mtima wangu na kunikumbusha maono ya Jakaya na Membe potelea pote madhaifu waliyokuwa nayo. Ukiangalia juu juu unaweza ukachukulia kawaida sana, lakini SGR, BAGAMOYO PORT na NATURAL GAS MTWARA basi taifa hili lingejenge nguvu kubwa sana kiuchumi na kukuza ushawishi hapa Africa na Asia hasa sehemu kama India, Pakistan na Uchina. Sijui kwanini hili swala Raisi Magufuli alilichukulia kibinafsi (Personal) sana. Hivi ni nani alimshauri vibaya kwenye hili ???

Mkuu Chige muda si mrefu naanzisha huu mjadala wa Bandari hapa jukwaani.
Please stay tunned.
Ah! Itakuwa umefanya jambo la maana sana kuanzisha huo mjadala manake ni mada ambayo hata nami nimekuwa nikifikiria sana kuianzisha lakini najiona napenda sana kuchangia kuliko kuanzisha mada! Hiyo mada ni tamu sana manake inanikumbusha last year nilipokutana na Researcher mmoja wa Kimarekani ambae alikuwa anafanya utafiti kuhusu The One Belt Road Initiative and China Foreign Policy.

One of the case study ni Bagamoyo Port Project including other similar projects in Africa kama ile ya Ethiopia-Djibouti. Baada ya some chit-chat jamaa akaniuliza nina maoni gani kuhusu Bagamoyo Port Project!

Mzee nikafunguka kama nimemeza radio and in less than 3 minutes, nikagundua jamaa yupo kinda disappointed... alitarajia negative opinions lakini nilikuwa kinyume chake!!

Na ndio maana wala sikushangaa lilipozuka sakata la Wachina kukamata mali za nchi kufidia pesa zao kama walivyofanya kule Sri Lanka na Zambia (if they actually did it)!

Hilo nalo nilitaka kuleta mada hapa kwamba, "Wachezaji wa Ngoma ya Wachina na Ukamataji wa Mali Zetu ni Sisi, Je Tunamfahamu Mpiga Ngoma ni Nani!" Huyo Mheshimiwa ndie alini-inspire kutaka kuleta hiyo mada!
 
Imani iliyopo kwa Magufuli si pesa wala Media inayoweza kuchafua....
Mpitisheni kwa tiketi ya chadema mwone matokeo yake..:
 
Hizi hoja sijui nani yuko nyuma yake ila ni za kipuuzi
 
JPM hafai kufika 2025,inapaswa 2020 afyekelewe mbali!
Hii itawafanya viongozi wawe wanawaheshimu wananchi na si kuwatishatisha !!!
Pole yako madeal Fyekelewa mbali!! Yaani kwa utashi wako eti hafai orodhesha hoja, hafai kwa nini? Madeal fyekelea mbali huko!
 
hata hujui kuandika paniq ndo nini? sishangai maana kama wapiga debe wenyewe ndo vilaza hivi basi mtaishia hivyo hivyo. wewe nadhani utakuwa ume panic mimi sina sababu tayari magufuli ni raisi na ataendelea kuwa rais mpaka 2020. kama unataka membe awe rais kwa nini nyie familia yenu msikubaliane awe rais wenu? kwa tanzania asahau kabisa IT WILL NEVER HAPPEN. HAYO MAGARASA KAENI NAYO HUKO HUKO KWENU.

Umepaniq, kakojoe ulale urais sio Mali ya bwana jiwe fullstop
 
hata hujui kuandika paniq ndo nini? sishangai maana kama wapiga debe wenyewe ndo vilaza hivi basi mtaishia hivyo hivyo. wewe nadhani utakuwa ume panic mimi sina sababu tayari magufuli ni raisi na ataendelea kuwa rais mpaka 2020. kama unataka membe awe rais kwa nini nyie familia yenu msikubaliane awe rais wenu? kwa tanzania asahau kabisa IT WILL NEVER HAPPEN. HAYO MAGARASA KAENI NAYO HUKO HUKO KWENU.
Mbona andika yako inaonyesha wewe ndie baba wa vilaza? hujui kupangilia unachoandika kabisa.
 
Watalam wa waswala ya siasa naomba ufafanuzi kwenye hili, imekuaje bernard membe amepata support kubwa hivi ya kumpandisha kwenye kiti cha uraisi 2020 kuliko 2015 ambapo ndo ingekua njia nyepesi ya kuupata??
Je? kutakuana watu, kikundi cha watu kinampigia debe awe aje kua raisi kwa manufaa yao?
Huu mtafaruku ni ndani ya CCM yenyewe au unatoka nje ya Ccm?'
 
Mkuu hii issue inatoka ndani ya CCM wenyewe,kuna utabiri aliutoa TB Joshua si mzuri juu ya Tanzania hasa 2020
 
Back
Top Bottom