Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Benard Membe Tunakuomba sana usituangushe baba, kwani unayo sapoti kubwa sana toka kwetu sisi vijana tunakupenda,

Wewe tangaza nia tu utaona sapoti yetu usiogope mtu hii nchi ni huru na katiba iko wazi kabisa watanzania tumeamka na tumejitambua!

Usiogope mtu sisi tuko na wewe Benard Membe tunakupenda sana, mambo ya kusubiri eti mtu amalize miaka kumi yalipitwa na wakati sisi tunataka Rais anaejali utu wa watu,

Tangaza nia baba hata fomu tutakuchukulia, tumechoshwa kupelekeshwa sisi,

Benard Membe kachelo mbobezi na mwanadiplomasia nguli kabisa, tunakutegemea utufurahishe mwaka huu,

CCM oyeeee
Benard Membe Oyeeee

Tunaimanii na Membe oyaaa oyaa oyaa

Membe kweeli,
Kweli,
Kweeeeli,
Kweli kweli kweli meembe.

2020 Chagua Benard Membe kwa maendeleo endelevu✔
 
Kweli Membe nusuru kizazi cha watanzania. Katiba imevunjwa waziwazi, nchi ni ya vyama vingi lakini amejitokeza kiongozi kapiga marufuku vyama vya siasa. Why? Yeye ni nani mpaka afanye hivyo bila kubadili katiba? Naunga mkono hoha So long as vyama pinzani vimebanwa, nguvu zielekezwe kwenye chama tawala mpinzani atokee mlango wa uani ili nchi ipate kupona make hatuwezi kuburuzwa na fikra za mtu mmoja, ukizingatia Mahakama na Bunge zimeondolewa uwezo wa kujiendesha.
 
Katiba imevunjwa hata na Laanatullahi Nyerere ,Huyo ni Mafia na Mchawi kama walivyo CCM wengine , hana jipya
 
Membe Ana nini na Ana nani?
Kwanza arudishe ule mzigo (pesa) kutoka Libya,baadaye ndivyo achakatuliwe USAFI na UBORA wake.
Uongozi wa Nchi sio mchezo wa kuingia.Hiyo mtu wenu ajitambue; ATANGOJA SAANA.Hana kishindo cha kushitua watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.

BABA MEMBE KARIBU UKAWA.

Wadau mnaonaje.!?
 
Membe ana jipya gani? povu anazomwaga kwa sasa nivile jiwe kamtoa kwenye ugali hiyo ndio kawaida ya mwanagamba yoyote! ukimkaribisha akishindwa lazima ataunga juhudi....halafu utawala wa hovyo wa jiwe hahitajiki membe kuja upinzani sababu jiwe hashindi uchaguzi sababu kura no ni Dola.....

Kirahisi namna hiyo ! Haya wamekusikia. Dominika njema 😎
 
Membe ana jipya gani? povu anazomwaga kwa sasa nivile jiwe kamtoa kwenye ugali hiyo ndio kawaida ya mwanagamba yoyote! ukimkaribisha akishindwa lazima ataunga juhudi....halafu utawala wa hovyo wa jiwe hahitajiki membe kuja upinzani sababu jiwe hashindi uchaguzi sababu kura no ni Dola.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Upinzani hawana mtu mwingine, zaidi ya ushauri huu watakalishwa mapema sana
 
Membe Na kina jk wanasema hachomoki MTU, wanapambana ndani ya chama hukohuko
 
Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.

BABA MEMBE KARIBU UKAWA.

Wadau mnaonaje.!?
Waungane na nani wakati woote walafi wa madaraka? Kila mmoja anataka awe kiongozi? Na hata wangeungana hakuna namna ya kuitoa CCM madarakani hai waungane tu kwenye vijiwe vya kahawa huko.
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Back
Top Bottom