Newword
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 326
- 299
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
humjuwi Membe vizuri wewe.
Kweli Membe nusuru kizazi cha watanzania. Katiba imevunjwa waziwazi, nchi ni ya vyama vingi lakini amejitokeza kiongozi kapiga marufuku vyama vya siasa. Why? Yeye ni nani mpaka afanye hivyo bila kubadili katiba? Naunga mkono hoha So long as vyama pinzani vimebanwa, nguvu zielekezwe kwenye chama tawala mpinzani atokee mlango wa uani ili nchi ipate kupona make hatuwezi kuburuzwa na fikra za mtu mmoja, ukizingatia Mahakama na Bunge zimeondolewa uwezo wa kujiendesha.
Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.
BABA MEMBE KARIBU UKAWA.
Wadau mnaonaje.!?
Kirahisi namna hiyo ! Haya wamekusikia. Dominika njema 😎Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.
BABA MEMBE KARIBU UKAWA.
Wadau mnaonaje.!?
Upinzani hawana mtu mwingine, zaidi ya ushauri huu watakalishwa mapema sanaMembe ana jipya gani? povu anazomwaga kwa sasa nivile jiwe kamtoa kwenye ugali hiyo ndio kawaida ya mwanagamba yoyote! ukimkaribisha akishindwa lazima ataunga juhudi....halafu utawala wa hovyo wa jiwe hahitajiki membe kuja upinzani sababu jiwe hashindi uchaguzi sababu kura no ni Dola.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni maoni tu. Siko huko. Hutaki basi.Msukule wa lumumba huna off leo ukasali?
Unafikiri wana option gani nyingine. !?Kirahisi namna hiyo ! Haya wamekusikia. Dominika njema 😎
Hilo halitowezekana kamwe.Tutapambana ndani ya chama kumtoa jiwe madarakani!!!
Mkuu, this time wameficha karata ile mbaya ! Tunasubiria surprise 🙂 ! Honestly they have run short of alternatives !Unafikiri wana option gani nyingine. !?
Huko ni sawa na kuchemsha mawe halafu umekaa pembeni unasubiri upate supu ! Mtamaliza kuni bure !😂Tutapambana ndani ya chama kumtoa jiwe madarakani!!!
Waungane na nani wakati woote walafi wa madaraka? Kila mmoja anataka awe kiongozi? Na hata wangeungana hakuna namna ya kuitoa CCM madarakani hai waungane tu kwenye vijiwe vya kahawa huko.Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.
BABA MEMBE KARIBU UKAWA.
Wadau mnaonaje.!?