Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

CCM uchaguzi wa Rais ni 2030

CHADEMA pambaneni na hali zenu!

Mkubwa, toa “CHADEMA” weka “Watanzania”. Lakini, kama ada, ukweli anao aliye Juu pekee. Dunia hii inaenda mbio sana. Hata 2025 huenda ni mbali. Kwa mfano nani alitarajia atatokea Hamza hapa Tanzania na kufanya vitu vile alivyofanya juzi. Polisi bado wanashangaa.

Bila shaka “wenye nchi” ambao kila kukicha huwacheka wananchi kwa kukosa ujasiri wa kuingia barabarani na kubaki kulalamika “mitandaoni” hawaamini kilichotokea. Hatujui modeli ya Watanzania watakaokuwepo kuanzia leo hadi 2030. Tahadhari ni muhimu.
 
Uchaguzi tusiufanye kama maisha ya kila siku. Hii ni 2021, uchaguzi uliisha 2020 tayari mna mijadala ya 2025! Hivi kazi tutafanya lini?

Tufanyeni kazina kuacha bnla bla za uchaguzi.
 
Uchaguzi tusiufanye kama maisha ya kila siku. Hii ni 2021, uchaguzi uliisha 2020 tayari mna mijadala ya 2025! Hivi kazi tutafanya lini?

Tufanyeni kazina kuacha bnla bla za uchaguzi.
Usichofahamu ni kwamba mwisho wa uchaguzi mmoja ni mwanzo wa maandalizi ya uchaguzi mwingine...uchaguzi sio dharura ni jambo mtambuka lenye michakato ya muda mrefu na maandalizi pia

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mwanamke ila niko very disappointed na nafasi hii kushikwa na mwanamke mwenzangu so far. Imeshaonekana hatuwezi kuvaa viatu hivi, ni vizito kwetu.
 
Ukiondoa tozo ambayo inakwenda kujenga zahanati vijijini, Mama Samia bado namkubali.

Miezi minne keshanitua;
-deni la milioni Saba la mkopo loan board,

-nimeshapanda daraja na Nina uhakika wa deni la mshahara nitalipwa.

-nina uhakika baada ya miaka kadhaa nitaenda ukweni Mwanza kwa treni ya umeme kwani reli keshatia hela na ambayo haikuwahi kujengwa na ambayo ilikuwa haijamalizika. Na treni Bora na kisasa ulimwenguni zinatengenezwa huko Korea.

- Mwakani mshahara utapanda.

- nina imani upungufu wa vyumba vya madarasa utakwisha.

- Kuna dogo nilikuwa najiandaa kumlipia chuo. Uzuri selection na mkopo kapata.

Kwangu mimi huyo Bwashee,Msambaa,mgosi, dishi na Mangi Mbowe watuache na MAMA
 
Mkuu mshana, najua wewe Ni kamanda kindakindaki, Sasa ebu lete mchakato wa huko ufipa ambao unaujua vizuri badala ya kuhangaika na mambo ya CCM.
Au 2025 hamko kwenye game?
 
Waziri wa fedha hatumtaki kabisa kwanza ni mnafki na kichwani ni zero licha ya kuwa na PhD.

NB:CCM nayo hatuitaki.
Sawa hamuitaki CCM Ila sijui wewe na nani, Sasa eleza mnataka chama gani? Siyo kusema tu hamuitaki CCM sema mnataka chama gani ili tuone uwezo wenu wa kuongoza.
 
Wewe akili huna umepanda daraja huku Makato yameongezeka work done equals to zero!
 
Macho kumchuzi hana akili hiyo,maisha yake tu yanamshinda uwezo huo hana
 
Hakuna katiba inayosema hicho ulichoandika, sio ya JMT wala ya CCM. Kwa CCM kumuacha Rais amalize kipindi cha miaka 10, ni utaratibu tu wala haumo kwenye katiba! na Katiba ya JMT inasema Rais ataongoza kwa kipindi kisichozidi miaka 10 ya vipindi viwili vya miaka 5, lakini sio lazima Rais aongoze vioindi vyote, akishindwa kwenye kipindi cha kwanza basi
 
Mkuu ccm wasiuane bule,2025 sio mwaka wao , nchi inaenda pata utawala mpya , pitia chama KINGINE nje ya CCM , wakilazimisha mie simo , ila ujumbe uwafikie Kama ulivyo , na ndivyo ilivyo, asema bwana
 
Kama wakimpiga chini Samia, namshauri mama nguvu iliyotumika kuirudisha CCM madarakani mwaka 2020, hiyo hiyo aitumie kuwapa Upinzani nchi japokuwa mimi niwana CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…