Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Tayari kampeni nzito imeanza , bali zinaendeshwa kistaarabu na kwa amani kubwa sana ! Nawahakikishia Wanachadema na Watanzania wote kwamba kwenye kampeni za Chadema hakuna atakayetekwa , kutishwa ama kupotea .
Mungu ibariki Chadema .