Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kila siku siyo jumapiliMwisho vyote vinakuwa kazi bure.
JPM again 2020-2025.
Bora upite tu maana kiukweli huelewekiYaani seriously Msigwa mkwe sijui shemeji ya Magufuli asimame wapingane??? Huyuhuyu aliyelipiwa faini magereza? Au ni bosheni tu?
Je Tundu Lissu amepona? Anauwezo wa kufanya kampeni? Au ndio zuga nayo tu ili mradi mtu asimame?
Anyway napita tu
Kweli kabisa.kila siku siyo jumapili
Hivi kama Magufuli kaweza kuwa Rais kuna mtanzania yeyote atashindwa ? muogope Mungu mjombaMkuu Msigwa hatoshi hatoshi hatoshi hata theluthi kuwa Raisi.
Mh. Lissu hafai hata kidogo kupewa cheo kikuubwa zaidi ya kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali yenu mtakayoiunda.
Mh. RAISI NA MH. LISSU tofauti yao ni ndogo sana hata kiwatokacho midomoni mwao.
Msiwe na haraka mtafuteni mwenye hekima na busara ndani yenu mtampata.
#KIKOSI_maalumu_CHA_MATUSI_karibuni
Una uhakika alilipiwa?Yaani seriously Msigwa mkwe sijui shemeji ya Magufuli asimame wapingane??? Huyuhuyu aliyelipiwa faini magereza? Au ni bosheni tu?
Je Tundu Lissu amepona? Anauwezo wa kufanya kampeni? Au ndio zuga nayo tu ili mradi mtu asimame?
Anyway napita tu
Jiwe atatoa show ya push up safari hiiYaani seriously Msigwa mkwe sijui shemeji ya Magufuli asimame wapingane??? Huyuhuyu aliyelipiwa faini magereza? Au ni bosheni tu?
Je Tundu Lissu amepona? Anauwezo wa kufanya kampeni? Au ndio zuga nayo tu ili mradi mtu asimame?
Anyway napita tu
Hapo bado Mbowe hajabadili gia angani!View attachment 1471045
View attachment 1471046
Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Tayari kampeni nzito imeanza , bali zinaendeshwa kistaarabu na kwa amani kubwa sana ! Nawahakikishia Wanachadema na Watanzania wote kwamba kwenye kampeni za Chadema hakuna atakayetekwa , kutishwa ama kupotea .
Mungu ibariki Chadema .
Karibu sana mkuu , vipi kampeni ya Pascal kuzima Twitter imefanikiwa ?Hapo bado Mbowe hajabadili gia angani!