Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

Hizo nguvu za KIKWETE kucheza Rafu Kwa wenye pesa alizitoa wapi wakati huo Lowassa alikuwa na pesa za kutosha?

Pia Mimi Si mwana CCM, ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Kikwete na Lowasa walikuwa na pesa hilo halipingiki.
 
Sasa unakiri Rais Alidhibitiwa Kisha unagoma kumuondolea usaliti Kwa Lowassa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hilo halipingiki mahaba ya Kikwete kwa Membe yalionesha pasipo na shaka usaliti kwa Lowasa.Yeye angefanya katika top three na jina Lowasa liwepo ila top one liondolewe kwa namna yoyote ile hakuna mtu ambaye angemlaumu.
 
2005 ilikuwaje?, Wana mtandao walishinda Kwa kishindo
Cha kushangaza ni hiki,

Pamoja na pesa walizokuwa nazo,

Wakashindwa kuzuia Magu kuukwaa Urais.

Ndo hapo, nashikilia kusema,

Urais wa Tanzania, hautafutwi Kwa pesa Wala upendeleo.

Urais ukikutaka, utakutafuta uliko hata kama ni porini!!๐Ÿ˜€
 
Hilo halipingiki mahaba ya Kikwete kwa Membe yalionesha pasipo na shaka usaliti kwa Lowasa.Yeye angefanya katika top three na jina Lowasa liwepo ila top one liondolewe kwa namna yoyote ile hakuna mtu ambaye angemlaumu.
Kaz Kweli Kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ