Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

Ulifika lini Mbinguni ukayakuta hayo unayoyasema? Kwanini manabii + mitume wa nyakati hizi wanafanya lobbying kupata waumini?
Soma thread: Live Kutoka Mbinguni- Rabbon.

Utapata majibu.

Kuhusu manabii fake kufanya lobbying kupata waumini, waulize wenyewe watakujibu.

Na baada ya kusema hayo,

Karibu tuendelee na MADA🙏
 
Salaam, Shalom!!

Tangu uhuru, wote walioutamani Urais, Urais uliwakimbia. Kwa kadri unavyozidi kuutamani Urais wa Nchi hii ambayo Nyerere alikuwa mwasisi wa mifumo ya uongozi na utawala, Kwa spidi hiyo hiyo ya kuutafuta, utateleza mikononi mwako usiamini kilichotokea.

1. Rais Mwinyi, hakuwahi kuutafuta Urais, Urais ulimtafuta.

2. Rais Mkapa hakujulikana, Wala hakuwahi kuutafuta Urais, Urais Ulimtafuta.

3. Rais KIKWETE hakutumia pesa kuusaka Urais, Urais ulimtafuta.

4. Kadhalika, Rais Magufuli pia hakuwahi kuota ndoto za Urais na kuzianika hadharani, Urais ulimtafuta Hadi Chato.

Hizi kelele za kuwa Marehemu Lowassa alisalitiwa na Rais KIKWETE ni unafiki tu, Urais hautafutwi Kwa pesa, na Urais haugaiwi kiurafiki Wala kindugu kwamba ukimaliza kula niachie nami zamu yangu!!

Wasaka Urais Kwa pesa, endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupata!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].

Amen
Watu wako radhi kumwaga damu za wenzao kuupata Urais, wewe unaongea rushwa ya pesa ambacho ni kitu cha kawaida kwenye chaguzi zetu. Lazima wewe utakuwa unaishi Burundi kama unashidwa kuyaona haya. Kikwete pesa ya EPA ilifanya kazi ili aupate Rais.
 
Kumbe sasa tuseme,

Lowassa hakuwa na Pesa, na ndio sababu za kuukosa Urais!!

Nitakuwa sawa kusema hivyo?
 
Kumbe sasa tuseme,

Lowassa hakuwa na Pesa, na ndio sababu za kuukosa Urais!!

Nitakuwa sawa kusema hivyo?
Kwa hiyo shida ilikuwa kumuongelea Lowassa. Ni hivi hiyo nafasi ilikuwa ikikodolewa macho na makundi mengine baada ya kipindi cha pili cha jk, na Edo alikuwa tishio kwa mambo mawili, kukubalika kwake na pili kasi ya utendaji. Wakaanga sumu, wazee wa fitina, walisoma hilo gap ikawalazimu wamfitinishe mapema kwa mzee baba kwamba hasipoangalia jamaa atachukuwa nafsi kabla ya yeye kumaliza muhula wa pili, na mzee mkubwa alishawishika kwa huo ushahuri akaona hisiwe taabu, wakaamua kumtafutia ajali.
 
Kwahiyo ni sawa kusema pesa pekee haitoshi kukupa Urais katika Nchi ya Tanzania.
 
Umenikumbisha maneno ya Dr. Salmin Amour Juma Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu, wakati akizungumzia Urais wa Zanzibar, alisema Urais si Halua kwamba kila mtu alambe.
Na dharau zake Sasa hivi Kawa kipofu.
 
Ndo nakwambia,

Pesa za Lowassa hazikumpa KIKWETE Urais, ni zaidi ya hapo.

KIKWETE hawezi kulaumiwa kushindwa kumkabidhi KITI Lowassa sababu Yeye hakuwa final say juu ya nani arithi KITI chake.

Acheni hizo basi,

Yaani wewe JokaKuu unaamini Kweli kuwa KIKWETE angeweza kuamua Membe awe Rais, akawa?
Punguza ubishi. Kikwete alimuengua Lowassa kwaajili ya Membe.
 
Tatizo hamna exposure mnafikiri hela ziko hapa tu. Dunia nzima kuna watu wanawasaidia watu kufikia malengo ya ndoto zao. Hata Nyerere kuna vizee viliuza mpaka baiskeli huko uswahilin. Ili ashike madaraka kila mtu ana watu wanamkubali mawazo yake so wanawekeza kwenye ndoto zake. So kwasasa sisi ni mapimbi bado kila alichosema Nyerere tumegeuza ni msahafu. Wakat hata yeye kaingizwa na watu hakuna Rais popote anaweza kuingia ikulu bila watu pale. Biashara iliyopo ni kuweka mawazo mapya juu katika kulisogeza gurudum la maendeleo nothing more. Hatuwez kuish kwa kuogopa hisia za Marehemu na kumruhusu aishi maisha yake tena aje aishi na yetu. Wakat mtu huyo huyo wakat anatoka ikulu alituambia mwenyewe siasa zake zimeshindwa. Amken vinginevyo wagen watakuja kuchukua kila kitu.
Fact...
 
Kanda ya ziwa pekee, zimeshapelekwa pikipiki za mtia Nia zenye picha yake zaidi ya 6000,

Urais unatafutwa hivyo?
 
Wewe ni mwanademokrasia,

Usibebwe na hizi dhana za Urais wa kurithishana.

Wananchi ndiyo asili ya uongozi wa juu wa Nchi.

Wapo ambao Huwa wanafanya tafiti Kwa maslah ya nchi.

Ndo hao waliona Magu anafaa kutuvusha.

Hizo zingine ni story tu.

KIKWETE hakumsaliti Lowassa!!
we nae unatuvuruga sasa!
 
Back
Top Bottom