Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

hiyo ya kusuka aina ya nywele ndo muhimu kweli kwel we oct au nov unashonea weavng au wig uwiii lazima utepetee! sure mkuu nakubali ulichosema

Asee hizo miezi kwa wanaoweka weave Dar nawapa hongera kwa kweli.
Weave na joto wapi na wapi?
Mtu kama hawezi kuvumilia kuwa na nywele ndefu, braids ndo nzuri wakati wa joto.
 
wanyakyusa bana sijui wana matatizo gani,wanawake ni wazuri tu ila hawaki kuwa natural....kujichubua sasa khaa!
afu wana sauti kali mno,hawajui kubembeleza kike eti..

Umetumwa? Wanyaki wamekukosea nn mkuu?
 
Yaani huna tofauti na mim yaan hayo mavitu siyawez mpaka najiona mshamba fulan hivi

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Watakaokuona washamba hao ndio washamba zaidi

Usijiharibu na hayo mavitu ya kijinga bure
 
Nlidhani nipo pekee yangu kumbe nawe upo nlishona weaving loh nikalitoa kesho yake wengi nawafahamu wanatumia mkorogo ila m napenda uweusi wangu.
 
mie nimechoka sana kuona hvyo maana ukienda mjini kati ya wanawake 15 basi 10 ni warembo wa vipako lakin leo hi nipo pekeangu naebandka walau kucha na kushonea weavng! mweeee!
Umeonaee
Huko mjini tabu tupu, ngoja niwe msomaji tuu
 
Asee hizo miezi kwa wanaoweka weave Dar nawapa hongera kwa kweli.
Weave na joto wapi na wapi?
Mtu kama hawezi kuvumilia kuwa na nywele ndefu, braids ndo nzuri wakati wa joto.

yeah braids alafu uwe na virgn cream yako mambo shwari tupu!kwakweli mwanamke uwe smart na msafi ,maana km kuna mwingn kasmea hata scrub yy hawez,kuna nscrub nzuru sana za asili km sukari na asal ukimix na mafuta ya nazii ukifanya kila wknd mwili mzima utajitaman!unatoa uchafu mwili wote ngoz inapumua!mavyakula tunayokula haya alafu ht scrub tu ushindwe kufanya labda uwe na ngoz yenye shukuran
 
Watakaokuona washamba hao ndio washamba zaidi

Usijiharibu na hayo mavitu ya kijinga bure
Na kweli sitakaa nijaribu
Unapishana na mtu au umekaa nae sehem moja wiving linatoa harufu utafikir amebeba chemba la choo
Kichwan

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Kukaa na mtu kwa muda au kupishana naye siyo tatizo sana kulala kitanda kimoja ndio shida ,kushonea nywele n uchafu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kukaa na mtu kwa muda au kupishana naye siyo tatizo sana kulala kitanda kimoja ndio shida ,kushonea nywele n uchafu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

binafsi sijawah kukutana nao! mie nashoneaga lakin sijawah jisikia linasmel bad!
 
yeah braids alafu uwe na virgn cream yako mambo shwari tupu!kwakweli mwanamke uwe smart na msafi ,maana km kuna mwingn kasmea hata scrub yy hawez,kuna nscrub nzuru sana za asili km sukari na asal ukimix na mafuta ya nazii ukifanya kila wknd mwili mzima utajitaman!unatoa uchafu mwili wote ngoz inapumua!mavyakula tunayokula haya alafu ht scrub tu ushindwe kufanya labda uwe na ngoz yenye shukuran
Basi shoga angu, nimekusikia jamani aic[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom