Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Weee nyie acheni watu na urembo waoHahaah!, umenikumbusha lile la Uzi mweusi uliisha ikabidi tumalizie na mwekundu! [emoji28] [emoji23] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee nyie acheni watu na urembo waoHahaah!, umenikumbusha lile la Uzi mweusi uliisha ikabidi tumalizie na mwekundu! [emoji28] [emoji23] [emoji125]
hiyo ya kusuka aina ya nywele ndo muhimu kweli kwel we oct au nov unashonea weavng au wig uwiii lazima utepetee! sure mkuu nakubali ulichosema
wanyakyusa bana sijui wana matatizo gani,wanawake ni wazuri tu ila hawaki kuwa natural....kujichubua sasa khaa!
afu wana sauti kali mno,hawajui kubembeleza kike eti..
Mdada akiitikaga hivi anaamsha hisia zangu sanaAbeeeeee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Watakaokuona washamba hao ndio washamba zaidiYaani huna tofauti na mim yaan hayo mavitu siyawez mpaka najiona mshamba fulan hivi
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
atakumbatiwa tu usihofu!
Umeonaeemie nimechoka sana kuona hvyo maana ukienda mjini kati ya wanawake 15 basi 10 ni warembo wa vipako lakin leo hi nipo pekeangu naebandka walau kucha na kushonea weavng! mweeee!
HahahaInteresting...Hongera zao..ngoja waume tuone wapi wanafaa kuoa hahaha
Asee hizo miezi kwa wanaoweka weave Dar nawapa hongera kwa kweli.
Weave na joto wapi na wapi?
Mtu kama hawezi kuvumilia kuwa na nywele ndefu, braids ndo nzuri wakati wa joto.
Na kweli sitakaa nijaribuWatakaokuona washamba hao ndio washamba zaidi
Usijiharibu na hayo mavitu ya kijinga bure
Kukaa na mtu kwa muda au kupishana naye siyo tatizo sana kulala kitanda kimoja ndio shida ,kushonea nywele n uchafu
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Unakula nyama ?Ni dread mpnz, sasa nikiosha na ku repair naona zinakatika tu (zile zinazoota ndo zinakatika) sijui shida nini, napata wapi hayo na original nayajuaje
Kama unajiheshimu na kumjua mungu acha mawazo hayo mara moja MkuuHivi kuchora tattoo si inauma?
Basi shoga angu, nimekusikia jamani aic[emoji125] [emoji125] [emoji125]yeah braids alafu uwe na virgn cream yako mambo shwari tupu!kwakweli mwanamke uwe smart na msafi ,maana km kuna mwingn kasmea hata scrub yy hawez,kuna nscrub nzuru sana za asili km sukari na asal ukimix na mafuta ya nazii ukifanya kila wknd mwili mzima utajitaman!unatoa uchafu mwili wote ngoz inapumua!mavyakula tunayokula haya alafu ht scrub tu ushindwe kufanya labda uwe na ngoz yenye shukuran