Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

Kuvaa wigi na wivin nilivaa wakati wa kipaimara . ...
Kufuga kucha na kubandika yani hata za miguu huwa nakuta vipisi tu na maumivu zimekatikia wapi hata sijui natembea miguu baja ha haha ...

Kuongeza kalio yani nimeletewa dawa mpaka na shuhuda mi hata hawanishawishi wameishia kuniita pasi na mbahili.. niongeze kalio halafu iweje Acha niendelee kutikisa mgongo
Mbavu zngu miee hahaha

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
JF Utaipenda kwa Kuwa Fake.... Mpaka Muda huu hakuna Dada aliyemsupport au kuwa kinyume na Mtoa Mada kuwa anapenda kuvaa Wigi, Lakini walio wengi wanavaa , Sana nashangaa hapa wanajitoa ufahamu hawapendi.. Enyi Wadada mara moja mseme Ukweli Basi
Tunavaa kwa shida tu huwa hatupend.. Tunapenda mitindo mbali mbali asa ni ghali mkuu

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Tege bwana likipinda vizuri, likawa 180° halafu na nyama, unalivalia chochote, heels, flats, sneakers you name it.
Lakini lisiwe na nyama halafu ukavae mini au shorts, inabidi usafiri uendane na abiria.

hhahah tege na mm ninalo na mm la nje ,ila nishalizoea mie umin napiga tu! bas mume wangu ananiambiaga nisijumuike kushika /kufukuza kuku! eti tutakesha coz kuku atakuwa anapita TOBO! hahaha mwanamke tege babu we! ila ukivaa high heels huwa linadisapear kimtindo!
 
Uwii nikishavuliwa wigi likachomwaaaa naliangalia niliumia mnooo... frm now wigi marufuku ila kucha mpango mzimaaa wanja pia ulinishindaaa [emoji54][emoji54][emoji54]

Na kilichonishinda zaidi ni high heels jaman lool

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
hhahah tege na mm ninalo na mm la nje ,ila nishalizoea mie umin napiga tu! bas mume wangu ananiambiaga nisijumuike kushika /kufukuza kuku! eti tutakesha coz kuku atakuwa anapita TOBO! hahaha mwanamke tege babu we! ila ukivaa high heels huwa linadisapear kimtindo!

Hahaha!, uwi pole mwaya. Eti kuku atapita mwenye TOBO [emoji16]
Kama nakuona vile unainama kumdaka halafu anakatiza tu...lol!
 
hhahah tege na mm ninalo na mm la nje ,ila nishalizoea mie umin napiga tu! bas mume wangu ananiambiaga nisijumuike kushika /kufukuza kuku! eti tutakesha coz kuku atakuwa anapita TOBO! hahaha mwanamke tege babu we! ila ukivaa high heels huwa linadisapear kimtindo!
Haha watuache na matege yetu bana, bonge la swagga
 
Back
Top Bottom