MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Leo ngoja niseme lililo moyoni mimi mama Ngina akiwa na nywele zake asilia awe amesuka au kachana nikimgusa tu kichwani naanza kuhangaika na kuona usiku unachelewa kufika lakini akivaa manywele ya bandia huwa natamani tugawane vitanda, atakae niona mie mshamba basi na aseme ukweli utabaki palepale nywele asilia zinavutia na kuleta hamasa !!!!
Hiyo style ya sasa ndo nzuri sana. Kumbuka kuwa nlishawah kukuambia kuwa huwa inakutoa poa sana. Hongera sana
Asilimia kubwa ya wanawake wa Tanzania hawajiamini. Na sio kwenye nyele tu hata ngozi.
Good...lakini kama hali yako ya uchumi inaruhusu inakupasa ufanye kwa mwezi mara 2. Na ukishindwa sana au ukibanwa sana na majukumu basi jitahidi ufanye hata kwa mwezi mara moja.very seldom kwa mwaka once
Ilikuwa moja ya mjadala ulionichukua muda mrefu na mchumba wangu kuliko yote na alikataa kata kata hanyoi, hasuki nywele zake kama nywele zake na wala haachi kununua wigi (for emergence ikitokea). niliamua kuufunga mjadala kwa kukataa mawigi ya hovyo na kusukia uzi ila nikaruhusu kwa shingo upande baadhi ya mawigi, kusuka yebo yebo na kuchana nywele zake(ndio wazo langu pekee lilipita)! Hataenda nje ya hapo ila duh hawa wanawake noma!
Asilimia kubwa ya wanawake wa Tanzania hawajiamini. Na sio kwenye nyele tu hata ngozi.
itabidi unipe mwaliko wa kukuona mchana wa jua kali
Good sound...nimeipenda hii. Sometime mfumo dume nao siyo mzuriHicho ni kitu ambacho chaweza kukutofautisha wewe na yeye,muda mwingine ni vyema kuheshimu hisia na vipendeleo vya mwenzio ilimradi havina madhara.
nywere zinawapendeza ofcoz.but kinachonikera ni kwamba hizo unywele moja moja they are everywhere jikoni, sebureni, etc
Ha ha haaa poleni sana wanaume wenzangu...naweza ona ni jinsi gani mnakwazika na hao mashemeji zangu!.Kaka hapo umeniwahi,yaani nachukia kila sehemu nywele mpaka mafuta, vitana inabidi kuchambua yaani nywele everywhere.
I have a bounty on my head mjini hapa. Niko WANTED for some crime, nisije kamatwa bureee.
hihhih haya bidada naona umejitetea.
usijisikie vibaya ndugu yangu ni bahati mbaya
Majaaliwaaa...kna sie mhhHainuhusu....watu na natural hair zetu babu eeeeeh
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Si rahisi kutengana maana sisi tumejijengea utaratibu wa kuamua kila kitu kupitia table discussion na mwisho wa siku tunachukua maamzi ya pamoja!!!!!!!!!!!!!!!!Hicho ni kitu ambacho chaweza kukutofautisha wewe na yeye,muda mwingine ni vyema kuheshimu hisia na vipendeleo vya mwenzio ilimradi havina madhara.
Totally,style ni nyingi sana pesa ako na muda tu,..napenda weavings the most,easy kusuka,fumua,kuosha na ukimpata msusi mzuri KUPENDEZA NI LAZIMA
Wanaume Wengi huwa atuangalii nywele kama kigezo..muonekano na tabia that's all..me huwa nashangaa wanajicomplicate na mawig it utadhan father xmas...bora kusuka or a simple haircut au aweke dawa lakin sio hiyo mi lance wig sijui..we are fully aware it's fake!!..unakuta ukimgusa tu kichwa ugomvi..kila saa kujitikisa kichwa sijui ndo pozi yani huwa nabaki hoi!!