Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ha ha haaa umenichekesha sana Mkuu! Any way pole sana...hayo ndiyo mambo ya dada zetu na urembo.
Je,kati ya picha hizi mbili...ungependa mpenzi au mke wako awenayo ipi? Hebu angalia kati ya hawa nani kapendeza kwa hair style?View attachment 136231
Ha ha haaa ni kweli ulikuja? OMG ulifanya nini that day? Vipi huduma yao uliionaje?hey mambo nilikuja MillionHairs mmejitahidi for sure Hongereni
Ha ha haaa ni kweli ulikuja? OMG ulifanya nini that day? Vipi huduma yao uliionaje?
ukiwa na weave ambayo ni natural hair, na isiwe ndefu sana kama 12 inches+, chukua 8-10 inches na rangi inayofanana na nywele zako.... ukipata msusi mzuri, either ui-bond au usukwe na msusi mzuri, mtu anaweza ajue ni nywele zako, mpaka akushike kichwa ndio atajua si nywele zako
Wakazi wa Dar na wateja wa Million Hairs Salon wanasema that is the best and beautyfu salon in Dar...je ni kweli au watu wanaipaisha tu?yeah nilikuja kweli, kushonea weaving........mko juu my dears keep it UP
nikipata ela nataka kuja kutengeneza style fulani hivi ya nywele
View attachment 136237View attachment 136239Usemayo ni ya kweli...ukipangilia weaving unayoitaka na ukapata msusi mzuri ni lazima upendeze na kuwa mrembo. Je,umewahi kufanyiwa steamer full body scrub?
yah! japo sijazikubali sana hizi picha... kuna zile weaves zinakuwa kama nywele za kiafrika kwa sisi black, inakuwa straight flani hivi, si ndefu sana wala si fupi sana, waweza set pia waweza kuzichana kawaida tu. mtu akiweka zile huwezi tofautisha na nywele za kawaida
Wakazi wa Dar na wateja wa Million Hairs Salon wanasema that is the best and beautyfu salon in Dar...je ni kweli au watu wanaipaisha tu?
ukiwa na weave ambayo ni natural hair, na isiwe ndefu sana kama 12 inches+, chukua 8-10 inches na rangi inayofanana na nywele zako.... ukipata msusi mzuri, either ui-bond au usukwe na msusi mzuri, mtu anaweza ajue ni nywele zako, mpaka akushike kichwa ndio atajua si nywele zako
Ni bomba mwaya..mko juu sema tubei twenu nato mmh ila ndio hivo ukipata huduma bomba mengine hayana tija
basi nishazifahamu...zinaitwa natural hair weaving. Unaweza kuzishonea kwa style ya bob cutting short mrazo au bob long mrazo style. Hebu niangalie kama Nina picha zakeyah! japo sijazikubali sana hizi picha... kuna zile weaves zinakuwa kama nywele za kiafrika kwa sisi black, inakuwa straight flani hivi, si ndefu sana wala si fupi sana, waweza set pia waweza kuzichana kawaida tu. mtu akiweka zile huwezi tofautisha na nywele za kawaida
yah! japo sijazikubali sana hizi picha... kuna zile weaves zinakuwa kama nywele za kiafrika kwa sisi black, inakuwa straight flani hivi, si ndefu sana wala si fupi sana, waweza set pia waweza kuzichana kawaida tu. mtu akiweka zile huwezi tofautisha na nywele za kawaida
yaah hizo ni natural yark weaving style...mara nyingi zinakuwa kwenye inch 6,8,10-12 style zake ni za bob cutting mrazo au bob long mrazoyeah hizo nazijua kwa mfano wanashonea kwa kati zinaendana na nyele zako waweza kubana
na inakuwa vigumu mtu kujua ma ni weaving labda hadi achunguze sana.......ziko straight yeah
yaah hizo ni natural yark weaving style...mara nyingi zinakuwa kwenye inch 6,8,10-12 style zake ni za bob cutting mrazo au bob long mrazo
Ni bomba mwaya..mko juu sema tubei twenu nato mmh ila ndio hivo ukipata huduma bomba mengine hayana tija
Inategemea na sura aisee. Wengine tuna sura kama za kufukuzia wezi unategemea nini?
Afu kuna watu hawana nywele.hadi huruma. Acha mawigi yatusitiri aisee khaa!
No no nooh asikuongopee mtu! Brazilian,Indian Hair na Remy Hair hizo ndiyo nywele bora duniani sema tu inategemeana wewe unapendelea style gani na mfuko wako ukoje. Hebu mwangalie huyu dada alivyopendeza na kitu cha Remy Hairkweli kabisa,sio brazillian hair,
nzuri sana hzo weavings znaendana na nywele zetu and znapendeza,afu ukilipata original ukalitunza vizuri unaweza litumia hata mwaka na zaidi na bado linakuwa zuri
yaah hizo ni natural yark weaving style...mara nyingi zinakuwa kwenye inch 6,8,10-12 style zake ni za bob cutting mrazo au bob long mrazo
urembo mzuri ni ule usiokuhamisha sana kwenye uhalisia wako, unatakuwa ukufanye uonekane natural beauty. my dad once told me, ukijiremba unatakiwa ujirembe kiasi ambacho mwanaume akikuoana aseme huyu dada ni mzuri, ana ngozi nzuri, na sio agundue upo fake