Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Superuser...ulipenda ipi Kati ya hizi?
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    669.5 KB · Views: 346
  • image.jpg
    image.jpg
    546.3 KB · Views: 335
Ha ha haaa ni kweli ulikuja? OMG ulifanya nini that day? Vipi huduma yao uliionaje?

yeah nilikuja kweli, kushonea weaving........mko juu my dears keep it UP

nikipata ela nataka kuja kutengeneza style fulani hivi ya nywele
 
ukiwa na weave ambayo ni natural hair, na isiwe ndefu sana kama 12 inches+, chukua 8-10 inches na rangi inayofanana na nywele zako.... ukipata msusi mzuri, either ui-bond au usukwe na msusi mzuri, mtu anaweza ajue ni nywele zako, mpaka akushike kichwa ndio atajua si nywele zako

image.jpgimage.jpgUsemayo ni ya kweli...ukipangilia weaving unayoitaka na ukapata msusi mzuri ni lazima upendeze na kuwa mrembo. Je,umewahi kufanyiwa steamer full body scrub?
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    337.3 KB · Views: 227
yeah nilikuja kweli, kushonea weaving........mko juu my dears keep it UP

nikipata ela nataka kuja kutengeneza style fulani hivi ya nywele
Wakazi wa Dar na wateja wa Million Hairs Salon wanasema that is the best and beautyfu salon in Dar...je ni kweli au watu wanaipaisha tu?
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    412.3 KB · Views: 295
  • image.jpg
    image.jpg
    362.6 KB · Views: 234
  • image.jpg
    image.jpg
    398.9 KB · Views: 289
View attachment 136237View attachment 136239Usemayo ni ya kweli...ukipangilia weaving unayoitaka na ukapata msusi mzuri ni lazima upendeze na kuwa mrembo. Je,umewahi kufanyiwa steamer full body scrub?

yah! japo sijazikubali sana hizi picha... kuna zile weaves zinakuwa kama nywele za kiafrika kwa sisi black, inakuwa straight flani hivi, si ndefu sana wala si fupi sana, waweza set pia waweza kuzichana kawaida tu. mtu akiweka zile huwezi tofautisha na nywele za kawaida
 
yeah hizo nazijua kwa mfano wanashonea kwa kati zinaendana na nyele zako waweza kubana

na inakuwa vigumu mtu kujua ma ni weaving labda hadi achunguze sana.......ziko straight yeah
 
ukiwa na weave ambayo ni natural hair, na isiwe ndefu sana kama 12 inches+, chukua 8-10 inches na rangi inayofanana na nywele zako.... ukipata msusi mzuri, either ui-bond au usukwe na msusi mzuri, mtu anaweza ajue ni nywele zako, mpaka akushike kichwa ndio atajua si nywele zako

totally mamito,ndo tunaponea kina sie,..pipo think i got long hair,mweee kumbee
 
yah! japo sijazikubali sana hizi picha... kuna zile weaves zinakuwa kama nywele za kiafrika kwa sisi black, inakuwa straight flani hivi, si ndefu sana wala si fupi sana, waweza set pia waweza kuzichana kawaida tu. mtu akiweka zile huwezi tofautisha na nywele za kawaida
basi nishazifahamu...zinaitwa natural hair weaving. Unaweza kuzishonea kwa style ya bob cutting short mrazo au bob long mrazo style. Hebu niangalie kama Nina picha zake
 
yah! japo sijazikubali sana hizi picha... kuna zile weaves zinakuwa kama nywele za kiafrika kwa sisi black, inakuwa straight flani hivi, si ndefu sana wala si fupi sana, waweza set pia waweza kuzichana kawaida tu. mtu akiweka zile huwezi tofautisha na nywele za kawaida

kweli kabisa,sio brazillian hair,
nzuri sana hzo weavings znaendana na nywele zetu and znapendeza,afu ukilipata original ukalitunza vizuri unaweza litumia hata mwaka na zaidi na bado linakuwa zuri
 
yeah hizo nazijua kwa mfano wanashonea kwa kati zinaendana na nyele zako waweza kubana

na inakuwa vigumu mtu kujua ma ni weaving labda hadi achunguze sana.......ziko straight yeah
yaah hizo ni natural yark weaving style...mara nyingi zinakuwa kwenye inch 6,8,10-12 style zake ni za bob cutting mrazo au bob long mrazo
 
Ni bomba mwaya..mko juu sema tubei twenu nato mmh ila ndio hivo ukipata huduma bomba mengine hayana tija

urembo mzuri ni ule usiokuhamisha sana kwenye uhalisia wako, unatakuwa ukufanye uonekane natural beauty. my dad once told me, ukijiremba unatakiwa ujirembe kiasi ambacho mwanaume akikuoana aseme huyu dada ni mzuri, ana ngozi nzuri, na sio agundue upo fake
 
Inategemea na sura aisee. Wengine tuna sura kama za kufukuzia wezi unategemea nini?
Afu kuna watu hawana nywele.hadi huruma. Acha mawigi yatusitiri aisee khaa!

Hahahaaaaaa...u make me laugh muuuch..
 
kweli kabisa,sio brazillian hair,
nzuri sana hzo weavings znaendana na nywele zetu and znapendeza,afu ukilipata original ukalitunza vizuri unaweza litumia hata mwaka na zaidi na bado linakuwa zuri
No no nooh asikuongopee mtu! Brazilian,Indian Hair na Remy Hair hizo ndiyo nywele bora duniani sema tu inategemeana wewe unapendelea style gani na mfuko wako ukoje. Hebu mwangalie huyu dada alivyopendeza na kitu cha Remy Hair
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    585.4 KB · Views: 412
yaah hizo ni natural yark weaving style...mara nyingi zinakuwa kwenye inch 6,8,10-12 style zake ni za bob cutting mrazo au bob long mrazo

I like 8 - 10 inches, sio fupi lkn pia si ndefu sana kama za wahindi, naweza kuzibana au kuzachia tu kwa nyuma especially kama nikiset au kuzipasi. sbb huwa nasuka sana nywele zangu, siku niki-retouch na nikiweka hizo zinanifanya nionekane kama nywele zangu natural
 
urembo mzuri ni ule usiokuhamisha sana kwenye uhalisia wako, unatakuwa ukufanye uonekane natural beauty. my dad once told me, ukijiremba unatakiwa ujirembe kiasi ambacho mwanaume akikuoana aseme huyu dada ni mzuri, ana ngozi nzuri, na sio agundue upo fake

Maneno yako hayana tofauti na tips za Million Hairs Salon...hebu wasome hapo
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    441.4 KB · Views: 268
Back
Top Bottom