Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

yaaani mimi nisuke twende kilioni,??,??????? n baada ya kusuka naenda nazo wapi?????????,???? ohooooo mungu labda nishinde nazo ndani tu hiyo siku maana ni out of fasion
kichwa sio lazima kioshwe kila siku hata kila baada ya wiki inatosha

kuumwa na kichwa kwaweza kusababishwa na mengineyo ndugu yangu sio nywele tu

hhehheh shogaa ni zile twende kilioni upo nazo ofisinii,..mhh,inahuu,
cha msingi kufuga nywele zako uwe unaosha mara kwa mara,
hehehe awaulize hao wenye natural wenyewe wanaziosha mara ngapi...NATURALI af iwe kipilipilini sheeeda,...
Kusuka mbona tunasuka hatuumwi vichwa,labda ile siku ukitoka kusuka basi,na inategemea na style
 
umeona eeeeh
hakuna mwanamke ataetoka kusuka then alalamike kuumwa na kichwa ni maumivu ya dakika mbili tatu baada ya hapo unarelax
Ponjoro kama ni ME ubahili tu ndo utakuwa unamsumbua
 
Last edited by a moderator:
yaaani mimi nisuke twende kilioni,??,??????? n baada ya kusuka naenda nazo wapi?????????,???? ohooooo mungu labda nishinde nazo ndani tu hiyo siku maana ni out of fashion
kichwa sio lazima kioshwe kila siku hata kila baada ya wiki inatosha

kuumwa na kichwa kwaweza kusababishwa na mengineyo ndugu yangu sio nywele tu

Sisi wanaume tuna shida sana kwasababu ya wanawake kama ninyi....wengi wenu manywele yenu yananuka midawa ila inatubidi tuvumilie japo hatupendi, wakati mwingine unalazimika kulala huku umeziba pua kwa harufu...mbona twende kilioni ni safi tu kwanza ni natural hata mamama zetu na mabibi zetu wakipendeza tu?...madawa na mawigi huku tanzania yamekuja juzi tu...labda nikuulize una umri gani? maana jinsi unavyoponda kana kwamba hukuwahi suka twende kilioni...USITUPE UTEFU KWA GODORO LA KUAZIMA!!!
 
kwanza ukae ukijua huwaga situmiii hayo mawigi wala kushonea weaving kabisaaaaaa

pia nywele zangu ni natural hazina dawa ingawa sio ndefu sana kama huyo ulienae ananuka nywele ni yeye na uchafu wake usidhani ni wote mwambie ajirekebishe

twende kilioni sikatai kuwa sijawahi kusuka nilishasuka sana nilipokuwa sec
.
unapozungumzia mama zetu na bibi zetu ujue kutofautisha na wasichana wa sasa ninaoweza kuwaita wa dunia mpya zama zileeeee za mabibi zilishapita ndugu yangu

kuhusu umri wangu hauhusiani na mada tuuweke kando
 
images.jpgRihana o-HUDSON-HAIR-570.jpg Jennifer Hudson

Hawa Masta wawili Rihana na Jennifer kwa mwonekano
wao wa mitindo ya nywele, walipokuwa na nywele zao
za asili (natural) zikiwa fupi wanamwonekana mzuri zaidi
kuliko walipokuwa na nywele ndefu zinazowafunika vichwa vyao

Ghanaian-School-Girl.jpg Beautiful-black-women-with-short-hair.jpg IMG_8399.JPG
carolinebwomono.jpg download.jpgaud3.jpg images (1).jpg
Taswira hizi zinaonyesha jinsi nywele fupi na
za asili zilivyo na mvuto zaidi kuliko nywele ndefu.

Akina dada, akina shangazi, akina shemeji, akina mama na wengineo, pengine wanaingia gharama kubwa sana katika kutengeneza au kuzifanya nywele zao ziwe na urefu wa kuwafunika hadi mabegani, lakini je taswira hizo zinavutia kuliko kuwa na nywele za asili ambazo ni fupi zinazooshwa kila waendapo kuoga tofauti na ndefu ambazo huwa wana siku kadhaa bila kuosha vichwa vyao na pengine kusababisha kunuka sababu ya upuliziaji wa madawa kadhaa kulizilinda.

Adha ambayo wengi na wenyewe wanaipata kutokana na wenye nywele ndefu baadhi ni kama ifuatavyo:

  • Zina gharama kubwa katika kuzitunza
  • Zinasababisha wengi kupatwa na mba vichwani mwao
  • Huwa rahidi kukatikakatika na hivyo kuwa na vipara mianzoni mwa nywele usoni
  • Huwafanya kununua madawa mbalimbali ambayo ni ghali ili kuzihudumia
  • Huwafanya kutooshwa nywele hizo muda mrefu sababu ya kutounza madawa yaliyowekwa
  • Husababisha harufu kalia na mbaya tokana na jasho kwa kutooshwa na hali kadhalika mchanganyiko wa madawa yanayotiwa kwenye nywele hizo.
  • Huwafanya wagharimie manukato ghali ili kuondoa harufu mbaya itokanayo na nywele

Inaelekea wanawake wanahangaika sana kwa gharama kubwa kutengeneza nywele kwa lengo la kufanya wapendeze zaidi wakati ambapo hizo mywele ndefu zinawafanya wabadili uzuri wa asili zao na kuonekana tofauti hata kukosa mvuto. Pengine baadhi ya wapenzi, waume zao na wanaume walio wengi they don't care kuhusu nywele wakati huo huo wanawake wanatumia gharama kubwa katika kuzihudumia na kuwalazimisha pengine wapenzi au waume zao kugharimia matunzo ya nywele hizo.

:cheer2::cheer2:Stay natural beauty :cheer2::cheer2:​
 
Inategemea mtu na mtu na sura ya huyo ambaye amefanya hair dressing
Wengine wakiwa na Nywele zao unaweza ukawakimbia ukazani umekutana na lemmy ongala
 
Kutoosha nywele kwa muda mrefu ni tabia tu na hulka na sidhani kama inahusiana na style ya nywele uliyoweka. Japokuwa sio kila mtu anaweza ku-pull off a natural hair style, natural hair pia ni gharama endapo utataka kuzimaintain ipasavyo. Mara nyingi kuweka nywele za bandia kunamfanya mtu aonekane mkubwa kuliko umri wake unless ana a really baby face kama wifi yangu AshaDii
 
Last edited by a moderator:
hivi unajua baby fesi yangu?

Wengine tukinyoa tunakuwa kama mbuni, kichwa kidogo mwili jumba.

Kutoosha nywele kwa muda mrefu ni tabia tu na hulka na sidhani kama inahusiana na style ya nywele uliyoweka. Japokuwa sio kila mtu anaweza ku-pull off a natural hair style, natural hair pia ni gharama endapo utataka kuzimaintain ipasavyo. Mara nyingi kuweka nywele za bandia kunamfanya mtu aonekane mkubwa kuliko umri wake unless ana a really baby face kama wifi yangu AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mdada amenyoa nywele na bado akaonekana mrembo basi ujue huyo mdada ni mrembo vibaya mno! Ni sawa na ukutane na binti hajapaka make-up lakini bado anaonekana mrembo. Wadada wengi uzuri huo wa asili hawana/ hawaamini kama wanao kwahiyo ndio wanalazmisha kwa kufuga nyeele/mawigi n.k. Halafu pia waafrika wengi tuna ile mentality ya kuwa kama wazungu.. nywele ndefu, weupe n.k. Confidence ya kuwa natural wengi hawana..
 
Inategemeana na sura na kichwa cha mtu sio kila mtu anapendeza kuwa na nywele fupi
 
Hebu njoo unione halafu urudishe majibu hapa....
 
Mimi huwa naona aibu kuona mabint wameshonea nywele ndefu kama za Spora au Vanessa Mdee, wazungu wanaona tunaabudu uzungu wao wakati baadhi wanapenda nywele zetu.
 
Kutoosha nywele kwa muda mrefu ni tabia tu na hulka na sidhani kama inahusiana na style ya nywele uliyoweka. Japokuwa sio kila mtu anaweza ku-pull off a natural hair style, natural hair pia ni gharama endapo utataka kuzimaintain ipasavyo. Mara nyingi kuweka nywele za bandia kunamfanya mtu aonekane mkubwa kuliko umri wake unless ana a really baby face kama wifi yangu AshaDii

attachment.php

Tunmashuhudia siku zote wanafunzi wanapendeza sana ingawa nao wamelazimishwa na sheria ya shule kutofuga nywele ndefu, lakini the majority wako safi na nywele zao nzuri.

CC; Honey Faith
 
Kutoosha nywele kwa muda mrefu ni tabia tu na hulka na sidhani kama inahusiana na style ya nywele uliyoweka. Japokuwa sio kila mtu anaweza ku-pull off a natural hair style, natural hair pia ni gharama endapo utataka kuzimaintain ipasavyo. Mara nyingi kuweka nywele za bandia kunamfanya mtu aonekane mkubwa kuliko umri wake unless ana a really baby face kama wifi yangu AshaDii

Mazingira ya kutoosha nywele yanatokana na aina ya nywele hizo mfano ndefu amabazo huwa zimesindikwa na madawa mengi huoshwa nadra si na mara nhingi hadi muende saloon. Lakini wenye nywele fupi kama sisi wanaume au wanafunzi wa kike (dent) kila waendapo kuoga huwa wanaoga mwili mzima kuanzia kichwani tofauti na wenye nywele ndefu wanapozifunika nywele zisilowe huku zikitoa harufu.
 
Inategemea na ndoga ya mwanamke, wengine wana vichwa Kama ubuyu.
 
Inategemea na ndoga ya mwanamke, wengine wana vichwa Kama ubuyu.
View attachment 161859 hawa wako natural wamependeza View attachment 161860

Kuzoea na namna ya kuziweka nywele zenyewe na mitindo ya kunyoa. Vinyozi wazuri husoma kichwa cha mteja na kumtengeneza avutie si mradi kuwa na nywele tu kichwani. Angalia wasichana hao wanafunzi, hao mbona wamependeza, sijaona kasoro au upungufu katika mkao wa nywele zao kuziacha natural.
 
Back
Top Bottom