Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

aisee kumbe!! demu wangu mvaa cheni kiunoni tupa kulee
 

Siwezi kuombea nyeemewee coz mi najiombeaga nyemewe zituu zangu na kuzikomboa navunja maagano ya ilikotokea.
 
Si kweli kua shanga zinatengenezwa na waganga wa kienyeji,vijana wengi siku hz hasa maeneo ya kitalii hua ndio watengenezaji wakubwa wa hzo shanga pia huzitumia sana kuweka nakshi kwenye sendo za akina dada
 

Umalaya utakuua we mchungaji utakufa na ukimwi balaa wewe.
 
hivi hata hao wamasai wa hapo k.koo wanaotengeneza shanga wooooote ni waganga? wachungaji wengine siku hizi chenga tu
 
Mie nina duka la kutengeneza bidhaa za shanga kama sandals, handbangs, keyholders, buckles, belts na pia waist -beads.
Una maana vijana wangu wanaoifanya hiyo kazi ni waganga pia,
Maana wanawake ndio huja kuzinunua wenyewe!
 
haahaaha! hapana. alafu we *evelyn salt* unapenda kunichokoza!!! kabla hujavaa niambie ili niweze kuziombea na namba zangu: 0786100772, 0673100772, 0757856336

Nlikua sijui kama zina Manuizo, nimeshazivaa sasa ukiziombea zenyewe tu mi nitabaki salama kweli?sio kwamba ntakua nshakua contaminated na hayo makitu ooohhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…