Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Pamoja Na Shanga, Lakini Pia Hata Nguo Ya Ndani*chupi* Na Ndio Maana Huwezi Kuanika Nje Hadharani Kwa Sbb Inavaliwa Sirini. Ingawa Shanga Au Chupi Unanunua Hadharani,tena Kwa Mwanaume, Lkn Ukishanunua Tu huwezi kuweka tena hadharani hata yule aliyekuuzia huwezi kumwonyesha. kwa iyo hata chupi ni vema kuziombea.
 
Mbona siku hizi zinaanikwa hadharani tu? Tena kipindi hiki cha mvua tunazianua sana tu na kuwatunzia wamiliki!
 
Nguo zinazovaliwa ndani huchafuka haraka kwa sababu zinagusana na mwili, ndio maana chupi zinafuliwa mara nyingi sidhani kama shanga zinafuliwa mara kwa mara.
 
Uchungaji bila elimu nayo ni kujiaibisha tu.

Haya tueleze umeyasema hayo kwa mamlaka gani?
 
kama kuna ukweli!!
 
Mental retardation in the name of religion...... Pyeeeee
 
Mbona siku hizi zinaanikwa hadharani tu? Tena kipindi hiki cha mvua tunazianua sana tu na kuwatunzia wamiliki!

ukiona dada ameanika chupi zake nje, hujue huyo anapepo la ukahaba, anataka mjue kama anavaa chupi gani. iyo ndo roho ya umalaya. wakimbie kama ukoma.
 
Umekosea kabla ya kuvaa akavalishwe na mchungaji wakiwa chumbani mkewe pastor asione
 
ukiona dada ameanika chupi zake nje, hujue huyo anapepo la ukahaba, anataka mjue kama anavaa chupi gani. iyo ndo roho ya umalaya. wakimbie kama ukoma.
Mkuu leo hii kaya zisizoanika kufuli za kike nje ni za kutafuta (hii ni mijini)
 
Habari za asubuhi?
 
Heaven Sent zile zako ushazipeleka zikaombewe? Na baba paroko
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…