Bwana Yesu asifiwe!
Leo nataka niwafungueni macho kondoo zangu.
Wanawake wengi wamekua wakipenda sana kuvaa shanga viunoni wakiamini ili kuwafurahisha wapenzi wao. shanga ni moja ya vitu vinavyotumiwa sana na waganga wa kienyeji kwny kazi zao.
Hivyo ili kuwashambulia wanawake kwa njia ya mapepo, waganga wengi wa kienyeji ndio watengenezaji wa shanga izo na kuzisambaza madukani kupitia watu wao ambapo huwa wanazinuizia roho za mapepo ya aina mbalmbal kama ifuatavyo:
1. Atakaevaa awe mgumba
2. Atakaevaa awe malaya, kahaba
3. Kwa alyeolewa asidumu katika ndoa
4. Atakaevaa asifanikiwe kiuchumi, mpenda anasa
5. Atakaevaa awe na mashetani
6. Atakaevaa aachike
7. Atakaevaa mfumo wake wa hedhi uvurugike
8. Atakaevaa awe na magomvi ktk na mumewe
9. Atakaevaa aingiwe na roho ya hasira
Hivyo wapendwa wangu unaweza kuona hukuwa na tabia fulani lakini kwa kuvaa ukajikuta unabadilika.Ndo maana ili wakujue umevaa shanga unakua unazini na kila mtu.
USHAURI: Kabla hujavaa shanga peleka kwa MCHUNGAJI Akaziombee ili kutengua hayo manuizo.