Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Heaven Sent zile zako ushazipeleka zikaombewe? Na baba paroko
Heaven Sent zile zako ushazipeleka zikaombewe? Na baba paroko
Wagalatia walisema watakutana wanisomee Injili nipate kichaa.
Nikawauliza mstari gani mtakaosoma wa kumtia muungwana kichaa? Manake mistaru yote iliomo humo ni Mafumbo tu na mipasho.
Wakaanza matusi.
Baada ya kutukana nikawapa mfano wa mstari mmoja kisha nikaomba maana,
Mstari unasema
19"Kwa kuwa mtu awaye yote aliye na kilema hatakaribia; mtu kipofu, au kiwete, au mtu aliye na pua iliyoharibika, au aliye na kitu kilichozidi vimpasavyo mwili,-
19-au mtu aliyevunjika mguu, au aliyevunjika mkono,-
20-au aliye na kijongo, au aliye kibeti, au aliye na kilema cha jichoni, au aliye na upele, au mwenye buba, au aliyevunjika mapu.mbu;-
21-mtu awaye yote wa kizazi cha Haruni kuhani aliye na kilema asikaribie kuzisongeza sadaka za Bwana kwa njia ya moto; ana kilema huyo asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake.
Mambo ya walawi 21:19-21
Nikauliza je! Kwanini andiko linalaani walemavu na waliovunjika makende?
Na makosa yao nini hawa walemavu? Kuzaliwa na Upofu au ulemavu ni dhambi? Na kuvunjika makende kwenye ajali ya baskeli pia dhambi?
Wakaendelea kusali ili nipate kichaa.
Teh teh teh.
Kamanda matusi hayafai kaka.Mkuu naomba msaada wako tafadhali wa lile andiko la Paulo alivyokuwa anapenda kumiminwa kwenye mizabibu mimi nimelisahau linapatikana sehemu gani na kuna mgalatia mmoja mbishi sana anadai kuwa hilo andiko alipo mpaka nimpe ushahidi
Kamanda matusi hayafai kaka.
Huyo mgalatia anaeleta tabu we niwekee link tu hapa nikambatize bila maji.
Maandiko kama hayo yako Mengi mno. Tena machafu zaidi ya hipo lkn tatizo ukiwawekea badala ya kukubali kuwa Andiko lao limechakachuliwa Wanaamua kumtukana Mungu na mitume wake.
Sasa huyu asikupe tabu. We weka Link hapa iwe ni Jf, Facebook, twitter au hata ya kichina. Sisi tutamfuata huko huko na maji ya uzima wa milele tukamsafishe kwa jina la bwana.
Ahsanta.
Uzushi huo! Kama ni maombi wewe huwezi Kuomba kwa Mungu hadi uende kwa mchungaji? Acha kuwatia hofu wanaovaa
Ktk maandiko Ibada ya Yesu haokuwa hivyo, hio mmetunga nyie.yaan watu wanamkufuru mungu bila hofu kabsa. wanafikiri ule upako uliokuwa kwa Elisha Umeisha? Hawajui Kama Bdo Upo Mpk Sasa. Watu Wengi Hawataki Habr Njema Lkn Wanaziunga Mkono Na Kupenda Sn Kuckiliza Habr Mbaya. Mungu Awaponye Kwa Jina La Yesu Kristo.
Hivi Shanga za kuvaa kiunoni Unataka uzikomboe na kitu gani?pointi sio kupeleka kwa mchungaji, bali ni kuzikomboa. sasa huwezi kuzikomboa kama hujaokoka. kwa iyo cha mcngi ni Kumpa Yesu Maisha Yako, Ili Uweze Kuziombea Mwenyewe.
We sio mtakatifu. huenda una pepo wa ngono. Lzm uje kwetu sisi wasafi wazee wa upako tukuombee kijana.Kwani ni mpaka mchungaji aziombee? Kwani mimi binafsi siwezi kuziombea?
We sio mtakatifu. huenda una pepo wa ngono. Lzm uje kwetu sisi wasafi wazee wa upako tukuombee kijana.
La sivyo utakosa uzazi.
Mimi na gwajima na wachungaji wote ni watu hatari sana. Tukiamua tunakusukumia mapepo sasa hivi.Huo utakatifu nani aliuthibitisha kwako? Una hakika gani mie nina pepo? Yawezekana wewe ndio pepo mwenyewe nikaja ukaniongezea mapepo so bora nijiombee niliondoe hata hilo moja nililonalo.
Mimi na gwajima na wachungaji wote ni watu hatari sana. Tukiamua tunakusukumia mapepo sasa hivi.
Kijana unatukana Watakatifu?
Mai wangu weeee!
Na Ushindwe, ushindwee.
Wii wii wiii wiii.
Hangla shangla hunda henga,
Ai ai ai ai ai.
Weeee. Usicheze na Watakatifu. Utatambaa sasa hivi,
Mimi na gwajima na wachungaji wote ni watu hatari sana. Tukiamua tunakusukumia mapepo sasa hivi.
Kijana unatukana Watakatifu?
Mai wangu weeee!
Na Ushindwe, ushindwee.
Wii wii wiii wiii.
Hangla shangla hunda henga,
Ai ai ai ai ai.
Weeee. Usicheze na Watakatifu. Utatambaa sasa hivi,
Ntamuomba mwenzangu Gwajima akufanyie maombi leo jioni uondokane na Pepo la kiburi ulilonalo.Mkwende huko na ushetani wenu.
Mkwende huko na ushetani wenu.