Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hapa ndipo utazijua akili za watu, shanga zinaongeza/kupunguza nn kwa mpenzi wako, hivi unaona shanga unasisimka hii inaingia akilini!
Shanga ni uchafu kama uchafu mwingine
 
Hapa ndipo utazijua akili za watu, shanga zinaongeza/kupunguza nn kwa mpenzi wako, hivi unaona shanga unasisimka hii inaingia akilini!
Shanga ni uchafu kama uchafu mwingine
ni nashangaa mkuu eti zinasisimua akili kivipi wengine hawataki kuziona unakuta mya kavaa ya rangi za kutisha mekundu bleu hayatofautiani na uchawi
 
Hebu tutupieni hizo picha za hao wavaa shanga ili tuwatafakari ili tutoe ushauri mzuri
 
ni nashangaa mkuu eti zinasisimua akili kivipi wengine hawataki kuziona unakuta mya kavaa ya rangi za kutisha mekundu bleu hayatofautiani na uchawi
Mimi navutiwa na mtu (mwanamke) jinsi alivyo na sio na alivyo navyo, as shanga, mkufu nk.
Historia ya shanga ina vimelea vya ushirikina, dem wangu akivaa ndo mwisho wa mahusiano
 
Fikiria na kutafakari mambo ya maendeleo, binafsi na jamii ikuzungukayo kwanza...achana na shanga kwani ni matakwa binafsi ya mvaaji!
Aisee wewe unatushangaza umezionaje shanga za kiunoni kwa mwanamke tena umesema mwenyewe ni mke wa mtu.. kwani huwa havai gauni wala kitenge au khanga kiunoni mwake hiii sasa ni tamaa binafsi inayokusumbua inawezekana umesimuliwa au kusikia kupitia kwa majirani nawe umeidaka hivohivo nakuileta humu jukwaani... unataka tukufanyeje sisi una mkeo kamalizie hasira zako za tamaa kwa mkeo akhaa kazi kuangalia viuno vya wake za majirani zenu kwa nini usimwangalie mkeo? nenda zako tulizana na mkeo
 
Mimi navutiwa na mtu (mwanamke) jinsi alivyo na sio na alivyo navyo, as shanga, mkufu nk.
Historia ya shanga ina vimelea vya ushirikina, dem wangu akivaa ndo mwisho wa mahusiano
hahahahaha akiwa anauzaram lazma avae wamakonde wanavaa japo hao niliowataja sio wote
 
hahahahaha akiwa anauzaram lazma avae wamakonde wanavaa japo hao niliowataja sio wote
Naona mumba daly anatafuta bwana kwa nguvu, bahati mbaya sana sifanyagi kinyume chaaumbile, katoka kwako naona amehamia kwangu
 
hahahahaha akiwa anauzaram lazma avae wamakonde wanavaa japo hao niliowataja sio wote
Wazaramo na makonde waoane wao kwa wao, mila,tamaduni zao ni ngumu kuingiliana na makabila mengine, ukitaka kumfaham mzaramo kwa undani nenda kisarawe,kazimzumbwe,chole,masaki,maneromango...utachoka
 
Naona mumba daly anatafuta bwana kwa nguvu, bahati mbaya sana sifanyagi kinyume chaaumbile, katoka kwako naona amehamia kwangu
mimi nimemweka kwenye ignore list simuoni anasaka kiki

thank you very much jf kwa kutupatia ignore list safi yaani mtu akizingua unamtia kapuni hakuna haja ya kuzinguana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…