Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Angekuwa mjinga ungemwelimisha lakini huyo yaelekea ni mpumbavu, achana naye vinginevyo watu watashindwa kuwatofautisha!?
 
Wanaume Jaman shanga tu unatoka udenda .... Angeiachia wazi si Ndo ungeingia Mzima Mzima ...acheni hizo aisee
 
Kama unapenda shanga tu kiukweli mnunulie mkeo.km knakingne sema haha haha
 
Shanga ndio zikuchanganye? wanavaaga mashuga mami/mimalaya iloyokubuhu na hilo litakuwa shuga mami tu, sizipendi kwelikweli
 
Wala usipate shida. Kama hizo shanga unaziona poa sana....mnunulie mkeo. Hapo itakuwa tatu bila
 
Mi huwa sipendi mtu ni mke wa mtu(ameolewa) lakini bado anavaa na kua na tabia za kutega tega,kuna mmoja nnapoishi haishi kunitega,kanga moja mara kaazima hichi mara kile,yaani hadi kero!
 
yanakuwaga na marangi mabayaaa mtu anayeyaacha wazi must be insane loh


yana sura ya uchafu sana sasa sijui unaweweseka nini
Raha ya shanga upate mtumiaji mzuri........na pia mvaaji awe na kiuno kizuri......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…