Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

watu wanawaza kutinduliwa tu .... hi ni thread ya pili kabla jua halijafika katikati tutatoka kweli.....
 
Ha haaa unanikumbusha Bosi moja alikuwa anapenda kutafunia vitu ofisi j3 wafanya usafi wakakuta shanga zimesambaa kwenye floor ofisini. ikawa ushahidi wa wazi kuwa kashaliwa mtu hapa.
 
Ha haaa unanikumbusha Bosi moja alikuwa anapenda kutafunia vitu ofisi j3 wafanya usafi wakakuta shanga zimesambaa kwenye floor ofisini. ikawa ushahidi wa wazi kuwa kashaliwa mtu hapa.
Hamna banaaa itakua zilikatika tuuu
 
Hyo mambo ilinishindaga aisee nlikuwa nikivaa nikienda toilet navua surual unajikuta nmezivuta zimekatika nkaona hii mambo siwezi
Shanga kwa suruali? Shanga zafaa kwa khanga moko wakati wa gemu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…