Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Niliachaga toka hyo cku,kwanza nilikuwa najisahau nasema hii nn,nami njuavyo tatu au mbili ndo nzur
 
Ni utamaduni usione soo vaa tu, tena utamaduni mzuri sana ni sawa na chains za gold/silver/bronze ambazo siku hizi zinavaliwa hadi kiunoni
 
watu wanawaza kutinduliwa tu .... hi ni thread ya pili kabla jua halijafika katikati tutatoka kweli.....
Hahahaaa ndio vichwa vya watanzania tulivyo [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Kumbe hata maana yaw shanga nahisi bado hujaijua hili nalo tatizo
 
Utakuwa mchawi ww co bure na kweli hips yangu 48,lkn kwan zinavaliwa kwenye hips nawe nawe bana
Hips zikiwa 48 inch maana yake ni direct proportional na Zigo ,hongera bi mkubwa ,hivyo ukivaa ama kuvua suruali ni lazima upate tabu ndio kuishia kukata shanga
 
Hips zikiwa 48 inch maana yake ni direct proportional na Zigo ,hongera bi mkubwa ,hivyo ukivaa ama kuvua suruali ni lazima upate tabu ndio kuishia kukata shanga
Heeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Senkyu justine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…