Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Makabila ninayoyajua mie ambao wanachezwa, Wazaram, wandengereko, Mtwara na Lindi, Tanga hao ndo ninao wafahamu mimi ila sasa kila kabila lina ujanja wake lakin lengo linakuwa ni moja.
Ww hujachezwa?
 
nazipenda sana we vaa mdada ila uzidhishe sita,weka mchanganyiko red,blue,purple,green
 
Yeah tena Zanzibar pale Mchambawima.



Unaonekana wewe ni mtaalum wa sector hii
 
Kwani huwa zinaongeza nin nikwamba kuna mautamu yanayo ongezeka au???.
 
Shanga ni kachumbari tena yenye pilipili mbuzi kwenye tendo, kama pilau bila kachumbari sio tamu,shanga ni catalyst wale walio soma chemistry wanaelewa nini maana ya catayst.
 

Kule nyumbani Zanzibar wanawake c sana kuvaa mashanga huu utamaduni mara nyingi ni kutoka bara ata hao wazungu nadra sana kumkuta mzungu amevaa shanga, alaf mimi ci dhani kama zinazidisha au kupunguza chochote zaidi kinachonivutia ni namna gani mke wangu nilivyompenda kutokana na maumbile yake natural.

Asikudanganye mtu ufundi wako kitandani ndio bora zaidi kuliko hiyo mizigo ya mashanga kama mchawi, kuwa mbunifu kwa mumewako atakupenda zaidi kuliko hayo mashanga mashanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…