Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Inawezekana ndivyo wanavyotafsiri huko mitaani lakini kwa mimi naona ni urembo tu tena vinawapendeza sana.
 
Umenena vyema mkuu
 
Hao wanaovaa vikuku miguu yote, mie nina mashaka nao ya kutatuliwa marinda nasikiaga
 
Wasalam..!

Kama nilivyo wasalimia kijana ni mgen kwenye huu mtandao, nimiez michache nimejiunga humu.

Hapo mwanzo nilikiua nasikia jamii forum, lakin rafiki yangu juz, tukiwa tunapata mbili tatu bas nilimuona akiperuz baadhi ya thread humu jf.

Kikubwa kilicho nileta kwenu ni hilo swali hapo juu. Kuna baadhi ya wa dau wana maoni tofauti kutokana na uzoefu wao.

Basi kupitia hayo maoni mbalimbali ya wadau, nabaki njia panda

Hiv majuz kuna mshikaji aliniambia kuwa huo ni urembo na hauna maana yeyote.

Nilivyo kuwa na xuli advance,kuna mdau aliniambia kuwa et wanatoa ndogo...

Bas mm nimewaletea mbele yenu wadau, mnitoe upofu, hiv maana yeke nn?
 
Kikuku kinanukia ahaaa...
Kikuku kinanukia ahaaa...

Yekeyeke mshua yekeyeke
Yekeyeke mshua yekeyeke.
 
Kuna hii dhana kwamba ukiona mdada kavaa cheni(Kikuku) mguuni hasa mguu mmoja kwa kushoto basi tambua Moja kwa moja mdada huyo anapigwa nyuma?

Swali kwenu wa Dada je ni kweli hii Dhana au uzushi tu?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli na haina uhusiano wowote wa kuvaa kikuu na kufanya ngono kinyume na maumbile hzo ni dhana potofu na mitazamo ya watu kulingana na upeo wa kila mtu na namna anavyofikiri maana ipo midume yenyewe inafata tu mikumbo kwa kusikia tu baadhi ya fikra za watu ila ni urembo kama ambavo wanawake wanavaa pete, hereni na mikufu...maana vikuku mpaka kwenye maandiko ya kikristo vipo na vimeandikwa kama mojawapo ya mapambo kwa mwanamke...
 
Ila Tz ndio nchi pekee ambayo we dont know how to mind our businesses...huwaga tuna mitazamo negative sana when it comez to living our lives...poor us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…