Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamanigi kuvaa ila hii tafsiri vichwani kwa watu ndo inanfanya nisivae
Kweli kabisaNi urembo tu imani potofu zinawapotosha. Wahindi, waarabu, wamasai na wengineo wote wangekua wamekubuhu kwenye hiyo tabia basi
Nakupm tutajengee aisee..[emoji12][emoji12][emoji12][emoji7]Mh..watu na maneno kha..napenda kuvaa hatari..jitafsirishe utakavyo utajua mwenyewe
Umenena vyema mkuuDada zetu na mama zetu, mapambo ni kwa kiasi yakizidi ni tatizo. Kwa upande wa vikuku mimi sikujua ni batili mpaka pale Mwana FA katika wimbo wa 'Mabinti' aliposema 'Unaona shanga za miguuni naita vikuku, japo kwa wenye ufahamu ni batili'.
Ukweli unabaki kuwa wadada wamama jipambeni kwa kiasi. Naamini hata wewe ukiona mapambo yanazidi yanageuka kero. Mimi naomba nikupeleke deep zaidi kwenye saikolojia ya mapambo. Kwa vile lengo la mapambo toka enzi na enzi ni kumfanya mwanamke apendeze na mwanamke akishapendeza amini usiamini anakolea zaidi katika mambo fulani.
Wanawake walioongoza kwa kuvaa dhahabu walikuwa wanawake wa Kimisri enzi za Malkia Cleopatra. Mapambo haya yalifikia kilele chumbani wakati wanawake hawa walipojifunua miili yao na kubaki kama walivyozaliwa na walianza kucheza kila aina za mikatiko huku wakisaula kimoja kimoja hatimaye walibakisha shanga za kiunoni, vipini na vikuu na shughuli ilifuatia.
Mpaka leo wanaoongoza kuvaa mapambo hswa dhahabu ni wanawake wa kiarabu lakini mapambo yote ndani ya baibui mpaka muda muafaka wa kujifunua tena kwa mlengwa pekee.
Kutokana na dhahabu kuwa ghali, wadada zetu ili kuonyesha jeuri ya pesa sasa ni kupanga macheni, mapete na mahereni lukuki tena wengine mpaka shanga za dhahabu!. Na asienavyo si haba shurti aazime.
Hapa ndipo kwenye matatizo. Mapambo yakizidi ni dalili ya inferiority complex kwa baadhi ya wanawake kujipamba kupindukia ili kujiridhisha nafsi zao kwa sasa wamependeza. Wajipambao kwa dhahabu ama wametoka familia duni na sasa wamepata wanataka kuutangazia ulimwengu wote hiyo sasa ndio thamani yao. Wanawake matajiri wa kiukweli wanavaa mapambo simple tuu halafu nenda kwenye mkesha wa mdundiko
Uone mijimama inavyoshindana kwa dhahabu.
Namalizia na pambo la ndani la shanga za kiuno. Baadhi ya wanawake wanaamini shanga hizo huwapagawisha wenzi wao. Basi utawakuta wengine wanafikiri ukizidisha idadi unakuwa bingwa zaidi. Niliwahi kuzihesabu za bingwa mmoja a Tanga, alinivalia 40!. Kwa vile mie sio hoi kwa somo hilo, huyo dada japo ulikuwa bingwa hilo zigo la maashanga kwangu lilikuwa kero kiasi cha kuharibu ladha yote ya somo zima!.
Na sasa hivi visichana vinavyochipukia, vinavaa lundo la shanga mikononi kama bangili ili kukupa nafasi ya kujiuliza kama mkononi ndio hivyo, huko kwenyewe itakuwaje?!.
Mapambo ni kwa kiasi tuu yakizidi inakuwa taabu.
Wewe unapigwa nyuma o mbele?Kuna hii dhana kwamba ukiona mdada kavaa cheni(Kikuku) mguuni hasa mguu mmoja kwa kushoto basi tambua Moja kwa moja mdada huyo anapigwa nyuma?
Swali kwenu wa Dada je ni kweli hii Dhana au uzushi tu?
View attachment 1023951
Sent using Jamii Forums mobile app