Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Kiukweli inawezekana sio kitu cha ajabu,
Naungana na The Boss,ishu sio kuvaa ishu ni kwenda nazo shulen jaman!
Hivi kweli jaman ndio mila avae mzigo kiasi hicho?
Isitoshe mabint wa siku hizi wala hawanaga mpango na hizo mila huyo kavaa ana yake bwana!
Mi naona watu wanajifanya over civilized, kwani shanga zimeanza kuvaliwa leo?? Mbona watu wanavalishwa tangu wakiwa wadogo, na shanga zinabadilishwa kadri anavyokua hadi anakuwa mtu mzima na shanga zake kiunoni!!
Muulize Nyani A.
We FL, kama huvai hiyo kitu usije ukasittajabu unaachwa solemba hivi hivi na BF wako, shauri yako !!wengine bado wana enzi mila na desturi zilizoachwa na babu zetu..kaazi kweli kweli
Leo nimekutana na jambo ambalo sikulitegea kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu, Central sekondari kukatikiwa na shanga lundo kubwa akiwa kwenye daladala akienda shule asubuhi! Hii ilitokea baada ya gari kujaa kupita kiasi na huyo mtoto alisimama katika harakati za kupishana ili wengingine washuke na kupanda, watu wakaona shanga zinamwagika kutoka kiunoni mwa huyo mtoto, japo yeye hakuonyesha kushituka sana! Sasa wanajamii tunaelekea wapi? Form three kwenda na mashanga shuleni, huyu mtoto anatafuta nini lakini? Akina mama tujenge tabia ya kuongea na watoto wetu!!!!!!!!!!!!!!!!

Kuku kuku tu kiongozi,jogoo jina.Msichana habalehe bali anavunja ungo